Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Soma hapa unshielded hapahapa hakuna maoni bora zaidi ya huyu mwamba.

Huyo kaka yako kaharibiwa na mama yako kwa 100% wewe mwenyewe unajua...

Mkuu nilipanga kuandika hivi ...Kuna mtoto kaka kaharibika hivi tunaona shemeji yetu kamuharibu vibaya mno sasa hivi ana ngoma na dawa mara anywe akipata unafuu anaacha anazidiwa tena
 
Kwenye kulelewa na mama huyu hajalelewa maana inavyoonesha mama yangu aliolewa na mzee wangu huyu akiwa na Miaka 5 or 4 kwa hivyo aliachwa ujombani… sasa huko alipoachwa huko ndio sifahamu alilelewa vipi
 
Dada hakika ni suala la muda akiendelea hivyo lazima aue.Naongea hayo kwa experience
Mwisho wa siku ndugu tunaonekana tuna Roho mbaya tukimfunga daah ila lazima iwe hivyo
 
Mna Nyumba moja tu hamuwezi kuhama hapo?.
Tunayo hii tu mkuu… halafu mkuu sisi tunahamaje na ni nyumbA yetu isitoshe tumepangisha wapangaji ili imsaidie mama kwa mambo madogomadogo
 
Tunayo hii tu mkuu… halafu mkuu sisi tunahamaje na ni nyumbA yetu isitoshe tumepangisha wapangaji ili imsaidie mama kwa mambo madogomadogo
Aisee

Chukua uamuzi wa busara ikiwa uwezo wenu ni mdogo wa kudeal na tatizo la ndugu yenu.

Watafute wataalamu wampatie dawa ya kuacha pombe kwanza .
 
Kwenye kulelewa na mama huyu hajalelewa maana inavyoonesha mama yangu aliolewa na mzee wangu huyu akiwa na Miaka 5 or 4 kwa hivyo aliachwa ujombani… sasa huko alipoachwa huko ndio sifahamu alilelewa vipi
Moja kwa moja jamaa ana point msikilize
 
Daah mtu mzee wa 40+ ila kama teenagers
 
Labda uwe na video yenye sauti yake bila hivyo atakukana
 
hakunaga uchawi ,...huyo ni MALEZI mabaya tu ndo chanzo,....acha kuwaza habari za kurogana maana hakuna hizo mambo, zaidi munaendelea kuozesha kidonda kwa kumfanya huyo mpumbavu aendelee kuona hana kosa,......
Yeah mimi nimehisi huyu anajitoA ufahamu kwasababu anafanya yote anajielewa mfano anaweza kufanya kujo usiku mkalala hata saa8 halafu utasikia anakwambiA kesho mniamshe saa 12:00 olewako usiniamshe nikachelewa kazini nikirudi nakunyonga

Et mtu gani amelogwa yupo hivyo
 
Labda uwe na video yenye sauti yake bila hivyo atakukana
Nilimrecod ila bahatii mbaya simu imeharibika ila mashahidi majirani kila mtu kamchoka

Na kwenye suala la kukana yupo vizuri ni Muongo moungo jamani ukikutana nae na akakuelezea waweza kumuamini na ukasema tuna muonea
 
Duuh Pole sana,mpelekeni Mirembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…