- Thread starter
- #281
Ndio imeshakuwa hivyo mkuu basi familia nzima tunawajibikaNdo hivyo,hata kama hukuwepo,lkn dalili zote zaonyesha hivyo, ushauri ndo huo.
Ndio imeshakuwa hivyo mkuu basi familia nzima tunawajibikaNdo hivyo,hata kama hukuwepo,lkn dalili zote zaonyesha hivyo, ushauri ndo huo.
KwakweliATAWAUA
Hana mke?Anayo kazi
Anahitaji tiba ya akili sio isolation and punitive measureTumempeka stakshari kwanza
Watu washapeleka kesi sana serikali za mtaa kaitwa na wajumbe mpk siku ya jana anamtukana mama mbele ya wajumbe ana mdhalilisha wajumbe wakasema mama achukue hatua huyo alipofikia sio wa kusikiliza ushaurii tenaHilo ni takwa la kiserikali haamna viongozi wa Serikali hapo mnapoishi wakawasaidia? Mpelekeni ngazi za Serikali kuna mjumbe au balozi wa nyumba 10, mtendaji mpaka mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wenu watamchukulia hatuaa km nyinyi mmemshindwa au km kuna ndugu yenu mkubwa km mjomba aua mtu yoyote anaeweza kumuonya muiteni aje amuonye na kumsikiliza yeye anataka nini
Nishayaeleza hayoHana mke?
Watoto je?
Maana angekua na kazi ya maana sinzani kama angekua na huo muda wa kushika ayo mapanga
Haya nendeni polisi mkafungue failiWatu washapeleka kesi sana serikali za mtaa kaitwa na wajumbe mpk siku ya jana anamtukana mama mbele ya wajumbe ana mdhalilisha wajumbe wakasema mama achukue hatua huyo alipofikia sio wa kusikiliza ushaurii tena
Nenda polisi ukamshtaki atawekwa lockup ataonywa akiendelea anafungwa akapumzike jela kidogo hio ndio step ya mwisho ukizembea ukasema hatujakuelekeza basi endeleeni na matatizo yenu, nenda polisi waje wamchukue alale selo kidogo hata miezi 6 akirudi akili itakua imemkaa sawaNishayaeleza hayo
Unafkiri mtu mwenye tabia kama zake anaweza kuishi na familia
Wahi polisi sasa hivi vituo vipo wazi waje wamchukue atawaua kweli km mpaka mjumbe anamvimbia huyo hafai akalale selo na wakorofi wenzie huko wakampasulie mayaiNishayaeleza hayo
Unafkiri mtu mwenye tabia kama zake anaweza kuishi na familia
Ndio. Maana Hakuna namna sasa. Apigwe tu.
Daah ndio hivyo mkuu… jana kakamatwa tunasubiri maelekezoAchana na hao ndugu uhai ni zaidi ya undugu.Bangi ni mbaya sana.Likitokea la kutokea hata serikali itawashangaa kwanini hamkuchukua hatua mapema.
Nishawahi kuweka ndani mtoto wa bamdogo baada ya kuvuta bangi akataka kumkata mapanga mama na baba.Kakaa zero miaka 2 karud amenyooka na saivi ni Raia mwema ni rafiki yangu na ananishukuru
Asee kibao kimegeuka eti malezi ya mama! Natamani niingie kwny ubongo zenu nijue unavyofanya kaziNinachoweza kusema huyo ni mtoto wa mama na huenda mpaka anafika hapo mama amechangia.
Ukifuatilia watoto wa kiume wengi wasumbufu ni wale mama's boys. Na pindi baba alipokuwa anachukua hatua dhidi yake ili kuweka sawa anapokosea mama alimkumbatia. Na kama sivyo alilelewa bila baba.
Ukimfungulia mashtaka atakayeumia ni mama yako. Akitupwa rumande kwa onyo mama ataenda kumtoa. Kaa na mama uone hilo kama litamfurahisha usijegeuka adui wa wote.
Ukiamua kuelewa ni jambo zuri ila ubongo wako ukigoma ni vizuri piaAsee kibao kimegeuka eti malezi ya mama! Natamani niingie kwny ubongo zenu nijue unavyofanya kazi
Cheza kwa akili unaposhughulika na huyo bro ili usijekosana na mama hata kama lengo lako ni zuri. Hata ukisema apelekwe sober house bado mama anaweza kataa. Ni mpaka hali iwe mbaya sana.Aisee ndio hivyo mtusamehe tuna mioyo ya huruma tu
Kwa hiyo we dogo unajikuta mjanja kuja kuniandikia huku au sio ? Ngoja nirudi nyumbani utanitambua .Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
poleni sana ,....Nipe hits mkuu maana huyu wa kwetu amelala stakshari hapa tunasikilizia mama atafanya kweli au anatuchora tu… maana yeye ndio anakuwa mshtaki