- Thread starter
- #241
InawezekanaUsikute huyo alisharogwa na wenzake, binadamu tuna wivu wa kijinga sana haswa kwa wasio na elimu
InawezekanaUsikute huyo alisharogwa na wenzake, binadamu tuna wivu wa kijinga sana haswa kwa wasio na elimu
Usiku huu amelala stakshari keshoo tutaenda kujuaNdio maana polisi wameuona huo mtego wakakwepa wanajua wakifanya action baadae ndugu wanageuka kuwalaumu polisi kwa nini wamechukua hatua.
Ni kwa baba yangu ila tulimuacha akae tu kwasababu ni ndugu yetu lakini ndio MtihaniKwani hapo anapoishi ni Kwa Baba yake au kwa Baba yako? Kwasababu umesema mmeshea Baba ina maana kati yako wewe na huyo Kaka yako mmoja wapo hapo siyo kwao. Na kama huyo Kaka yako hapo siyo kwao kumtimua inakua rahisi.
MnhDawa ni kumroga mnatakiwe mmufunge kabisa kimila, kama hujui tafuta wasambaa, wanguu wa kilindi na handeni au wabondei wa muheza na korogwe
Yupo stakshari nowMpaka unaandika haya hamjatenga msiba?Get rid of that bastard.
MmhTuruhusu tuje wawili tu wa mikoani. Tatahakikisha tunaondoka pale tu atakapoanza kukuamkia shikamoo dada...! Sema tufikie wapi?
SawaMama anayo majibu yote.kaa naye chini atakwambia sababu halafu tafuteni mtumishi wa kiroho asaidie kuwatatulia hicho kifungo.Ipo sababu mama yako anaijua.huenda siyo kosa la huyo kijana
Poleni Kwa tatizo..Kuna mama alikuwa Na kijana Wa pekee aliyekuwa naishi naye ..mama alikuwa Dr PHD alikuwa anaishi sinza mwaka 2022 kijana wake alikuwa Na tabia kama za kaka yakoJamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Sasa kwanini msifukuze aende kwao kwasababu hapo siyo kwao.Kusema tunashare mama haina maana ndio nimloge
Na kwenye urithi hayupo maana sisi baba yetu alishafariki zamani sana na alituachia urithi ambao ni pamoja na nyumba
Na yeye hapa anakaa kwa mgongo wa mama sio kwamba ana share yake
Yeye anae baba ake yupo hai
Na Hakuna ndugu ambae anaweza kumloga kwenye ukoo wetu sijawah kusikia mambo ya kishirikina
Huyu kalogwa na watu baki ambao alikuwa labda anawatukana huko zamani
Huyo atakua hiyo tabia ni ya kurithi itakua kwenye ukoo wao lazima kuna tabia kama hiyo, utakuta Baba akizaa watoto kuna mmoja hiyo tabia itamkamata tu sasa kwenye ukoo wao itakua yeye ili pepo limemshika yeye.Ndio kaitwa kwa mjumbe kapiga bangi kwanza. Na pombe kawashA kiredio anaelekea huko tunAsikiliza wataamua nini
Maana majirani wamemshitaki usiku hawalali kwa ajili yake
Kwenye faili mmeandikisha kesi gani?Na mshitaki ni nani?Usiku huu amelala stakshari keshoo tutaenda kujua
Kama ni kumripoti polisi lazima umueleze mama kwa kina kwa nini unaona hatua hiyo inafaa na aridhie. Ingawa anaweza kubaliana nawe ila akafanya tofauti tofauti ili kumlinda mwanaye.
Mazee mazima bado mnakaa nyumbani, nendeni mkajitegemeeJamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Mdogo wetu mtoto wa baba yetu mdogo kampeleka police mwanawe wa kumzaakisha akaomba police wampeleke mahakamani. Mzee akamwambia hakimu. Huyu ni mtoto wangu nimechoka na mambo anayoyafanya. Naomba mahakama imuhukumu angalau miaka miwili ili akirudi huko labda atabadilika. Yule Hakim akamwambia kwa vile ni mara ya kwanza akamfunga miezi 6 hapo kuna mambo mengi yalipita na aliomba asipewe dhamana.Huyu nyie mnamdekeza,saa hii ilitakiwa awe gerezani.
Nakubaliana na wewe poti nimeshuhudia kesi nyingi za aina hii akina mama wanawabeba hao watoto wao wasumbufu.Hakuna Mwanamke/mama anaeweza kuvumilia mwanae akae jela mwezi. 😁
Labda wampeleke jela huyo mama asijue. Hii ni uzoefu nilionao nikiwa kama poti kwa miaka mingi.
Mama anaweza pata hasira akampeleka mtoto polisi, lakini hasira hizo zikikata anakuja kumtoa. Ndio maana polisi hawapelekagi kesi ya mzazi na mtoto mahakamani, zinaishia dawatini. Sababu ni damu ni nzito kuliko giza la sero na mavi yake. 😁
Yupo selo sasa sijui mama kama ataenda mahakamani maana wanamtaka yeye ndio asimamie atoe mashtkaHuyo hajarog
huyo hajarogwa ni AMEDEKEZWA ,......ningekuwa karibu ningewaonyesha dawa ya watoto waliodekezwa,...shenzi zake,...
Nipe hits mkuu maana huyu wa kwetu amelala stakshari hapa tunasikilizia mama atafanya kweli au anatuchora tu… maana yeye ndio anakuwa mshtakiMdogo wetu mtoto wa baba yetu mdogo kampeleka police mwanawe wa kumzaakisha akaomba police wampeleke mahakamani. Mzee akamwambia hakimu. Huyu ni mtoto wangu nimechoka na mambo anayoyafanya. Naomba mahakama imuhukumu angalau miaka miwili ili akirudi huko labda atabadilika. Yule Hakim akamwambia kwa vile ni mara ya kwanza akamfunga miezi 6 hapo kuna mambo mengi yalipita na aliomba asipewe dhamana.