Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Muuuweni maana hana faida tena
 
 
Take care kuna kiongozi mmoja wa chama cha mpira dar es Salam alipigwa mapanga na mtoto wake wa kumzaa kwa kupuuzia vitu hvyo hvyo.
 
Angalieni ndugu zenu wa extended family maana kuna ndugu wengine ni shida kuwa nao karibu.
 
Chagueni moja,aende jela au apelekwe hospital achezee sindano za usingizi miezi 6 akili imkae sawa.
 
Tandika bakola huyo.hicho kilevi ndo humpa utahila
 
Halagi nyumbani.. kuhusu hospital ukiliongelea hilo suala utaoga matusi na kushikiwa panga
Kwa nn usiwe aggresive kama Lamomy ? Lamomy anapigwa bani kila mwezi kwa utukutu. wakati kalaga baho bani toka nijiunge humu sijwahi kubigwa.

Anyway Liongelee wakati wewe mwenyewe umebeba panga
 
Ndugu zanguni tulifanikiwa kumpeleka hospital aliwekwa kwenye watu wenye matatizo ya Afya ya akili wamemuweka pale takribani siku 16 ametoka ana siku 2 sasa

Kwakweli alipokuwa huko alikuwa mzurii mpk nuru ya uso ilionekana kama mnavyojua mabangi na pombe zinafanya mtu anazeeka

Ila ndugu zangu huyu kaka tena jana na Leo nimemshuhudia anavuta masigara sijui ndio bangi nashindwa kumuelewa mtu gani asiejionea huruma

Pamoja na kupoteza hela zetu nyingi kumpeleka hospital na kumuhudumia chakula kila siku alipolazwa ameshindwa hata kuona madhara ya hayo mabangi jamani
Alivyokuwa hospital alitia huruma sana akiomba kutoka kwamba kabadilikaa lakini hata wiki hajamaliza ameanza kuvuta tena 😭😭
 
Subirii aje kuwachomea motoo kwenye nyumbaaa...! au awakate kate mapangaaa.. Huyo ni wa kumuacha huko japo inauma ndo ashapotea na hizo bhangii.
 

Mrekodi kwa Siri, nenda Police
 


Omba mpaka abadilikeee
 
NENDENI sinza tafuteni jamaa WA madawa

NENDENI chumbani kwakeee wekeni mizigooo

Iteni polisi wasachi hio nyumba..MSIOGOPE mama ataenda polisi kutoa tu ushahidi HUYO n mwanae BAADA yahapo waachien jamhuri WAFANYE KAZI yao

Nyie KAZI YENU kusubiri siku ya kesi na kutoa ushahidi huyu ndio michezo na biashara zake

Siku ya hukumu mnanunu kvant na konyagi mnasubiria MAAMUZI

After ntafteni tulee bataaa mshenzi kama HUYO HATA haitajii mda kukaa na jamiiiii
 
Hilo janga cha kwanza nenda polisi apigwe haswa wekeni home wamasai walinzi ....asikanyage....
 
Daah wewe jamaa una Roho ngumu yaani kaka angu ndio nimpakazie kesi namna hiyo

Mkuu mimi nahitaji namna ya kumsaidia hatoke kwenye hilo janga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…