Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Mkuu kama upo Dar mimi nitajitoa muhanga wa kujulikana personally uje nyumbani kwetu na wewe huongee nae

Tumeshafanya kila namna huyu mtu ni hakuna mabadiliko… mama alishaenda nae mpk kwa watumishi wa dini ili apate canceling nusu amchinje huyo mchungaji

Mpk naandika humu tumeshatumia njia zote za kawaidaa za kumsaidia kama ndugu yetu.
Hatua ya mwisho tumeona labda tumfunge
 
Huyo ni mpuuzi tu, kuna watu wanakula bangi na pombe na hawana ghasia zozote na ni smart kuanzia kiakili mpaka kimwili.
Na Mimi nashangaa maana hata wenzie huwa wanauliza yeye kwanini awe hivyo
 
Pangeni mchongo na ndugu,majirani na wapangaji. Andaa kamba ya kutosha. Siku akilianzisha tu kelele mdakeni fungeni kamba nyingi. Jifidieni Kwanza na stik na kutosha then mpelekeeni hospital wambieni anapiga watu pia tumemnyang'anya panga. Hata yeye mwenyewe anajidhuru. Hasa akivuta bangi ndio anakuwa hatari mtaani. Wenyewe watajua wadeal nae vipi
 
Hatujakataa ila sasa vipi akiua mtu ama akija kumuua yeye mwenyewe maana kashasema atakuja kuchoma kiberiti nyumba atuue wote
 
Duuh na mtaani hakuna anaempenda maana hakuna ambae hajagombana nae
 
Sidhani kama itawezekana huku Dar ndugu yangu kila mtu anaogopa kesi
 
Ukitaka kujua jinsi mama yako anavyompenda, kamfungulie mashtaka awekwe ndani ndipo utaelewa. watu wa namna hii huwa wanapendawa sana na mama zao. Mnaweza mkashirikiana na mama yako kumsema ila baadaye utakuja shangaa yuko upande wake.
Try utaona.
Na Mimi ndio naogopa anaweza baadae kusema mimi nilikuwa mstari wa kwanza kusema afungwe
 
Ina maana huijui namba ya afande Murilo?

Hakuna msaada utapata hapa we mpigie afande aje achukue mtu wao wakamsaidie kwa kumpa kazi eng mla bange huko lupango aweze kubuni vitu vipya gerezani pasipo kulipwa mshahara...

Afande Muliro anawahitaji sana watu kama huyo bro wako.
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
 
Mmmh
 
Muulize vizuri mama yako kwanini kaka yuko hivi. Mam yako atakuwa anajua kwa asilimia 80 kwanini kaka yako yuko hivyo
Hajui bhn… labda kwasababu alilelewa kwa wajomba lakini wajomba wangu hawana shida ni watu wa Mungu sijajua alivyoanza kujitegemea ametupiwa nini
 
Kwani pesa za kutumia kulewea huwa anapewa na nani au anazipata wapi? Maana kwa jinsi ulivyomwelezea, si mfanyaji kazi.
Ni mfanyakazi mkuu
Akitoka kazini ile jioni ndio kisanga kinaanza ama akikaa home weekend ama siku za sikukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…