hakunaga uchawi ,...huyo ni MALEZI mabaya tu ndo chanzo,....acha kuwaza habari za kurogana maana hakuna hizo mambo, zaidi munaendelea kuozesha kidonda kwa kumfanya huyo mpumbavu aendelee kuona hana kosa,......Pole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa...
Huyo haiitaji mwana saikolojia wala sobber house kwa sabab chanzo Cha tatizo kiko ndani ya familia na mama anajua vzur ...
Baada ya kijana kufanikiwa ndugu walipambana kumuaribu akili ili asimsaidie mzaza wake Bali awepoawepo tu kama hivyo na mwisho wa siku wamuue kabisa..
Ongea na mama anawajua vizuri ndugu zake au ndugu wa upande wa baba ...poleni Sana..
Wivu wa ndugu ndio chanzo hakuna kijana msomi wa kariba yake awe na tabia hzo kwa hiari yake mwenyewe..
Anatamani sana kuacha lakini hawez kwa sababu anavifungo vya kiroho alivyofungwa na ndugu zake...
Njia ni mbili hapo either mtatue kwa Imani ya maombi kanisani au kwa maustadh wamsomeee visomo ili afunguke OR...
Mwende kwa mganga amsaidie...
Uchawi upo ndugu zangu
kuna kipindi alipigwa sana na bro akawa kama ametulia akapata kazi kama miezi 6 akawa yupo vizuri sasa baada ya hapo ndio shughuli imeanza tenaJe akiwa hajalewa anakua pia Ana fan ya fujo .?
Jibu swalikuna kipindi alipigwa sana na bro akawa kama ametulia akapata kazi kama miezi 6 akawa yupo vizuri sasa baada ya hapo ndio shughuli imeanza tena
Huyu hajarogwa na ndugu mkuuPole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa...
Huyo haiitaji mwana saikolojia wala sobber house kwa sabab chanzo Cha tatizo kiko ndani ya familia na mama anajua vzur ...
Baada ya kijana kufanikiwa ndugu walipambana kumuaribu akili ili asimsaidie mzaza wake Bali awepoawepo tu kama hivyo na mwisho wa siku wamuue kabisa..
Ongea na mama anawajua vizuri ndugu zake au ndugu wa upande wa baba ...poleni Sana..
Wivu wa ndugu ndio chanzo hakuna kijana msomi wa kariba yake awe na tabia hzo kwa hiari yake mwenyewe..
Anatamani sana kuacha lakini hawez kwa sababu anavifungo vya kiroho alivyofungwa na ndugu zake...
Njia ni mbili hapo either mtatue kwa Imani ya maombi kanisani au kwa maustadh wamsomeee visomo ili afunguke OR...
Mwende kwa mganga amsaidie...
Uchawi upo ndugu zangu
Endeleeni kumlea! Atakuja kuleta tukio mpaka hamtasahau! Sisi kulikuwa na toto la sista nalo mamake alikuwa analidekeza hivi hivi likiwekwa ndani anajichanga anaenda kulitoa. Mwisho wa siku likakurupushwa kwenye wizi wenye mali wakalivizia usiku limelala wakalipiga mapanga. Sema kwa vile lilikuwa na afya likawazidi nguvu lakini limekula mapanga ya kutosha. Wauaji wanatoka mlangoni wanakutana na mamake anakuja kuliokoa, mama naye akala mapanga na kufa hapo hapo! Sasa nyie lichekeeni linafanya matukio huko mtaani linarudi home mnalipokea ipo siku litawaua!Sifahamu kama alidekezwa maana tumeshare mama… sijakua nae mimi nimekuja kumfahamu nikiwa mkubwa kabisaa.. sijajua sasa hiyo zamani
Huyu amna siku hanywi mkuu wala kuvuta bangiJibu swali
Aspolewa pombe anakuaje ?
DuuuhEndeleeni kumlea! Atakuja kuleta tukio mpaka hamtasahau! Sisi kulikuwa na toto la sista nalo mamake alikuwa analidekeza hivi hivi likiwekwa ndani anajichanga anaenda kulitoa. Mwisho wa siku likakurupushwa kwenye wizi wenye mali wakalivizia usiku limelala wakalipiga mapanga. Sema kwa vile lilikuwa na afya likawazidi nguvu lakini limekula mapanga ya kutosha. Wauaji wanatoka mlangoni wanakutana na mamake anakuja kuliokoa, mama naye akala mapanga na kufa hapo hapo! Sasa nyie lichekeeni linafanya matukio huko mtaani linarudi home mnalipokea ipo siku litawaua!
Kusema tunashare mama haina maana ndio nimlogeUnasema mnashare mama tu.
Isijekuwa unapunguza ushindani wa urithi kwa kumroga mwenzako halafu unakuja kutuzuga kuomba ushauri??
Kuniuliza natafuta nini nyumbani sijajua unalenga nini mkuuWewe una miaka mingapi? Unatafuta nini hapo nyumbani
Kwenye malezi siwezi kujua maana amenipita mbali sana so sijui kwa hiloHuyo wala tatizo lake si mwezi mchanga, tatizo lake lilianzia kwenye malezi,vile mama yake alivyomlea,wamama wanamchango mkubwa sana katika kumshapu mtoto kitabia watakavyo wao, shirikisha ndugu na jamaa zenu,mtieni ndani kwanza apate adabu,atawaueni huyo,msimuendekeze!!!,mnaweza waonga hata watu wa jera wamshkishe adabu kwa mda fulani,atanyooka tu huyo.
Huyu sasa ndio anatukana mzazi wakeMimi niliondoka kwetu na sina hamu napo tena.
Siwezi kuvimilia matusi kutoka kwa mzazi.
Polisi walimkataa hiyo Jana wamesema tumpeleke kituo kikubwaIlikuwa ndo nafuu yenu, mpelekeni akafanye snother trial, muondokane ns hizo dhihaka!!
Okay SawaMental case afungwe kamba apelekwe milembe
Karibu kila familia ina mtu wa aina hiyo. Kwetu yupo bro ana miaka zaidi ya 50 sasa ila mwendo ni huo huo. Kwa baba mdogo napo yupo kijana japo yeye yuko arround 40s nae ni hivyo hivyo. Ukweni kuna mmoja hadi alifariki nadhani alikua above 55 years ila ndio hivyo..Huyu hajarogwa na ndugu mkuu
Huyu walio mloga ni watu wa nnje kabisaa ambao labda amekuwa akiwatukana
Na kuhusu elimu wala hana Elimu ile ambayo unaisomea
Ni elimu ya ufundi wa Veta ndio imempa hiyo ajira na amebobea kwelikweli
Hila hajasoma elimu ya darasi nahisi kaishia la 7 or 5
Huyu amna siku hanywi mkuu wala kuvuta bangi
Ndio maana nasema labda ni mwezi mchanga maana kuna kipindi alikuwa anayavuta lakini akirudi home anaingia zake chumbani kimyakimya wala hafanyi vurugu
Kaka angu mkubwa anasema waliendaga kuchungulia wakakuta karogwa.. sasa mama haamini mambo ya uganga ndio shuhuri hapoPole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa...