4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sasa unalinganisha mshahara wa mashirika binafsi na wa wafanyakazi wa umma mbona ni mbingu na dunia labda mashirika binafsi uchwara ,Tulieni nyie, tuulizeni wenzenu tulioko mashirika binafsi huwa tunalipwa tarehe ngapi na hatuna kelele.
Jifunze nidhamu ya pesa, usiishi kwa tarehe za mshahara.
Nani aliwaambia mchague kijani?haya ndio madhara yake.wenzenu wako bungeni wanaendelea kula Bata na nyie endeleeni kwenda kukopa kwa mangiHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Ushamba tu unakusumbua. Fanya mshahara kuwa ziadaHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
mjumbe, kasome katiba ya watumishi na mkataba wa kazi, kuanzia siku ya 15 mfanya kazi anaweza kulipwa malipo yake ya mwezUnastahili kulipwa mshahra baada ya siku ya 30 ya mwezi uliofanya kazi.
Tulia mwisho wa mwezi bado.
Hapa shuleni tuibe chaki?We si uibe hizo dawa hapo zahanati sijui kituo cha afya unapofanyia kazi?
Wenzako MSD wanabunyq hela
Wizara ya afya wanabunya pesa
We unafanya nini hapo USIBUNYE HIZO PESA?
#YNWA
Hivi nyie ambao huwa mnalazimisha watumishi wa umma kufanya biashara ,maana yenu huwa ni nini ? Wakifanya biashara mda wakutuudumia sie wananchi unapatikanaje ,mawazo ya hovyo kutokea tzUshamba tu unakusumbua. Fanya mshahara kuwa ziada
sasa serikali imefanya nini tena wakati rais wa tucta kasema mshahara uwe unatoka tarehe 28-30 mnataka nini tenaHivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Haha uliza awamu ya nne watu walikuwa wanaishije.Hivi Kwanini waTanzania tunakuwa mazwazwa hivi kwenye haki zetu? Mpaka Leo jumatatu ya tarehe 24 Mshahara hamna na vivo hivyo hamna kauli yoyote ile kutoka kwa serikali hasa hasa Karibu mkuu utumishi yeye yupo Kimya tu! Hii haikubaliki kabisa
From now siwezi kuendelea kufanya kazi mpaka napewa stahiki yangu kwa maana Mshahara Nyie wengine watumishi ambao hamjielewi au hamjui haki zenu endeleeni na kazi zenu!
Bullshit!!!!!!!!!!
Note
Moderator msifute Huu Uzi naona siku hizi mmekuwa machawa na boss wenu mello
Rais wa tucta ni nani ndani ya nchi hii? sio mwajiri bwana iyo kauli ipuuzwe na kama ni kweli kasema mlio Wanachama wa tucta mnajua cha kufanya moja nikujivua uanachama abaki mwenyewe , mbona simple.sasa serikali imefanya nini tena wakati rais wa tucta kasema mshahara uwe unatoka tarehe 28-30 mnataka nini tena
Umetaja tu kuanzia siku ya 15 ila hukusema hadi lini.mjumbe, kasome katiba ya watumishi na mkataba wa kazi, kuanzia siku ya 15 mfanya kazi anaweza kulipwa malipo yake ya mwez
Samahani kuingilia Kesi ila nahisi wewe Ndo hufahamu..Mwezi unaanza tarehe 01 na unamalizika tarehe 31 au 30 au 28 kwa mwezi wa february.
Utakuwa hujaenda shule wewe au embu angalia kalenda kama unayo inaonyesha mwezi unaanza lini na unaisha lini.
Kwa hiyo wewe kwa mfano wako huo kutoka tarehe 05 mwezi 05 hadi 05/06 unaweza kabisa kwa shule uliyosoma ukathibitisha kwamba huo ni mwezi wa 05 umekamilika?
Tatizo ni mazoea mabaya ya kutokulipwa mishahara tarehe stahili nakushauri jijengee mazoea kama unategemea huo mshahara panga bajeti vizuri ya mshahara ikitokea mshahara mmelipwa kabla ya mwisho wa mwezi wewe uache ikifika tarehe 01 mwezi unaofuata ndio uanze kutumia.
Kuna jamaa yangu nilimuona zuzu sana walilipwa mishahara sijui tarehe 22 kulikuwa na sikukuu gani sijui akatumia hela hovyo kwenye sikukuu kufika mwisho wa mwezi hana kitu