Mwezi unaanza tarehe 01 na unamalizika tarehe 31 au 30 au 28 kwa mwezi wa february.
Utakuwa hujaenda shule wewe au embu angalia kalenda kama unayo inaonyesha mwezi unaanza lini na unaisha lini.
Kwa hiyo wewe kwa mfano wako huo kutoka tarehe 05 mwezi 05 hadi 05/06 unaweza kabisa kwa shule uliyosoma ukathibitisha kwamba huo ni mwezi wa 05 umekamilika?
Tatizo ni mazoea mabaya ya kutokulipwa mishahara tarehe stahili nakushauri jijengee mazoea kama unategemea huo mshahara panga bajeti vizuri ya mshahara ikitokea mshahara mmelipwa kabla ya mwisho wa mwezi wewe uache ikifika tarehe 01 mwezi unaofuata ndio uanze kutumia.
Kuna jamaa yangu nilimuona zuzu sana walilipwa mishahara sijui tarehe 22 kulikuwa na sikukuu gani sijui akatumia hela hovyo kwenye sikukuu kufika mwisho wa mwezi hana kitu
Samahani kuingilia Kesi ila nahisi wewe Ndo hufahamu..
Serikali inamifumo yake ya Kiutaratibu ya Utendaji kazi..
Ikiwemo Tarehe, Mwezi na mwaka..
MWezi wa serikali kwa mwaka 2023/2024 Tangu June 2023...
Ulianza Tarehe 24 mpaka tarehe 23.. ya Kila mwezi..
Na mwaka wa Serikali Huanza (July 1 ni mwanzo wa mwaka) mpaka june tarehe 30 (Ambayo ni mwisho wa Mwaka)..
January sio mwanzo wa Mwaka Kiserikali japo Kijamii january ni mwezi wa mwanzo au Mwanzoni mwa mwezi kiserikali..
Vivo hivyo Tarehe 21 mpaka tarehe 23 Ni mwisho wa Mwezi kiserikali....
Kiserkali (upande wa Mishahara) Tarehe 30 sio mwisho wa mwezi ila Terehe 30 ni siku ya Kufunga hesabu za mwezi..
Watumishi toka mwaka huu wa 2023/2024 na miaka mingine ya Nyuma Umeanza wamekuwa Wakipokea Mshahara tarehe 21 mpaka 23..
Hivyo kuvuka Tarehe 23 Huesabika ni siku zaidi ya 30 za Kiutumishi (Kama utapiga hesabu vizuri)..
Kwa siku ya Leo ni Tarehe 1 Ya mwezi Mwingine yaani siku ya 32 ya mwezi mwingine japo kulimgama na mwezi uliopita Mshahara uliingia Tarehe 21 kwahyo keo ni Tarehe 33 Tangu wapokee Mshaahara..
Nadhani utakuwa umenielewa