Tunafanya biashara vema,tunafuga,tunalima na kazi ya umma tupo vizuri.Hivi nyie ambao huwa mnalazimisha watumishi wa umma kufanya biashara ,maana yenu huwa ni nini ? Wakifanya biashara mda wakutuudumia sie wananchi unapatikanaje ,mawazo ya hovyo kutokea tz
Umevaa pampasi we shoga?Hata watumishi wasipolipwa mishahara milele hawawezi kumkumbuka huyo mbwa...
Bibi uliopita tulilipwa tarehe 22. Mwisho wa mwezi ni lini sasa waelewekeKama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?
Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Muulize Lissu.Ukipenda boga penda na ua lakeView attachment 3024877
Sio kuvaa TU mi huwa nakula pampasi, hata mashoga huwa nawala..Umevaa pampasi we shoga?
Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.Bibi uliopita tulilipwa tarehe 22. Mwisho wa mwezi ni lini sasa waeleweke
Kama unakula kula tu, siri na Allah? Unanchekesha.Punguza kula kitimoto na bia kwa siri
Hata watumishi wasipolipwa mishahara milele hawawezi kumkumbuka huyo mbwa...
Chawa we kila kitu sawa TU... Mtu mzima hujitambui.... Bichwa km jagiWewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
Huo mshahara wa May au wa June?Poleni kwa majukumu wakuu!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.
NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..
Asalam Alaikum..
Huo mwisho wa mwezi wa kujazwa ujinga.Wewe Bibi mwezi huu ukilipwa mshahara tarehe 23, mwisho wa mwezi ujao ni terehe 23 sio tarehe 30 au 31.
Acha uongo mbona kijana wangu kaenda kuchukua mshahara muda huu.angalia kupitia simbankingPoleni kwa majukumu wakuu!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.
NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..
Asalam Alaikum..
Hizo ni tarehe mlizozowea kulipwa lakini siyo mwisho wa mwezi. Mkajijaza ujinga kuwa huo ndiyo mwisho wa mwezi.Chawa we kila kitu sawa TU... Mtu mzima hujitambui.... Bichwa km jagi
Tunamuuliza mrithiMuulize Lissu.