Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

Hivi nyie ambao huwa mnalazimisha watumishi wa umma kufanya biashara ,maana yenu huwa ni nini ? Wakifanya biashara mda wakutuudumia sie wananchi unapatikanaje ,mawazo ya hovyo kutokea tz
Tunafanya biashara vema,tunafuga,tunalima na kazi ya umma tupo vizuri.
Mshahara ni mtaji. Ukishapata mtaji unafungua mradi. Mradi sharti umlipe anayeusimamia. Sisi twabaki wakurugenzi. Makusanyo benki.
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya Rais Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23.

Asalam Alaikum..
 
Kama hamkubaliani na Reforms na Rebuilding mfateni alipo, mnangoja nini?

Awamu hii ishasema mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli. Ni nini msichoelewa hapo? Mshahara ni mwisho wa mwezi siyo kati ya mwezi.
Bibi uliopita tulilipwa tarehe 22. Mwisho wa mwezi ni lini sasa waeleweke
 
Wewe sema una madeni ya grocery tu, ilishatangazwa siku nyingi kuwa mwisho wa mwezi uwe mwisho wa mwezi kweli, siyo kudanganyana.
Chawa we kila kitu sawa TU... Mtu mzima hujitambui.... Bichwa km jagi
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..

Asalam Alaikum..
Huo mshahara wa May au wa June?

Mshahara wa May unatakiwa kulipwa by June 1.

Mshahara wa June unatakiwa kulipwa by July 1.
 
Wewe Bibi mwezi huu ukilipwa mshahara tarehe 23, mwisho wa mwezi ujao ni terehe 23 sio tarehe 30 au 31.
Huo mwisho wa mwezi wa kujazwa ujinga.

Mwisho wa mwezi ni mwishoi wa mwezi kama ilivyo kwenye kalenda na inavyojulikana dunia nzima.

Halafu utakuta wewe ni mwalimu unaeendelea kuwajaza ujinga watoto wa kimasikini.
 
Poleni kwa majukumu wakuu!!

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..

Leo ni tar24 lakini mpaka sasa (17:58 hrs) mishahara ya watumishi wa serikali haijatoka. Hali hii sio ya kawaida na inatupa hofu kidogo juu ya serikali yetu pendwa chini ya mama Samia, hivyo sisi tusio na access na taarifa za habari tunaomba kufahamishwa kama kuna taarifa yoyote juu ya hili, maana unaweza ukapuuzia kumbe kuna tangazo la kupokea mishahara dirishani (cash in hand) limetolewa na hujalipata.

NB: Hadi sasa watumishi tumetumika mwezi Mzima bila kulipa, from May 24 to June 23..

Asalam Alaikum..
Acha uongo mbona kijana wangu kaenda kuchukua mshahara muda huu.angalia kupitia simbanking
 
Back
Top Bottom