Tunafanya biashara vema,tunafuga,tunalima na kazi ya umma tupo vizuri.Hivi nyie ambao huwa mnalazimisha watumishi wa umma kufanya biashara ,maana yenu huwa ni nini ? Wakifanya biashara mda wakutuudumia sie wananchi unapatikanaje ,mawazo ya hovyo kutokea tz
Mshahara ni mtaji. Ukishapata mtaji unafungua mradi. Mradi sharti umlipe anayeusimamia. Sisi twabaki wakurugenzi. Makusanyo benki.