Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

sasa tunafanyaje
Jafary Nimeiry kule Sudan, Hosein Mubarak pale Egypt, Mugabe nk walifanya mambo kinyume na wananchi watakavyo na wananchi waliwang'oa kwa maandamano tuu.
Hivi hapa kwetu kwa nini hatuazimii tuu kikatiba kuwatoa sasa hivi na ikishindwa basi ni barabarani tuu
 
Halafu zote hizo zije kuitwa HGA huku IGA ikisimama....manake sidhani kama kutakuwa na IGA 30 zitakazo kuja kuridhiwa na kupitishwa na Bunge.....tumeona Phase 1 Project 1 sasa tukiambiwa zimo zote mumo? Phase 1-30 Project 1-30 halafu ukizingatia hii phase one peke yake yaani Early Project imechukua miaka miwili, kiunagaubaga Miaka 30 ukiondoa miaka ya Miradi yenyewe! Halafu tukisema milele wanasema hakuna mstari au kipengele kinachosema miaka 100! Ebo!

Nitaivaa chupi yangu kichwani na kurandaranda uje sasa uniite Chizi uone

Vipi waki-sign kimya kimya...?
 
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Umekosea kijana, siyo 30. Za Dubai pekee 36. Mbali za Abu Dhabi, za Sharja, za Ras Al Khaimah.

Kuna za Oman na kuna za Saudia Arabia.

Tunaongelea MoU zaidi ya 100 na Mikataba ya uendeshaji zaidi ya 1,000.

Hivi nyie mbona hampendi kujisomea? Mapoyoyo mpaka mumsikie mjigamjinga kama Slaa, aliyeishiwa mpaka nyumba kalamba, cheza na Mshumbusi?

Hivi hajaona juzi Watanzania wakienda Oman?
 
Mlimkataa Hashim Rungwe na ubwabwa wake hivyo endeleeni kulia lia
Walie tu? Mwenye wivu ajinyonge, bado yupo kwenye MoU wakati sasa hivi watu wapo kwenye mikataba kedekede na mingine ishaanza kazi. Jionee:

On 28, Tanzania’s Zanzibar and Oman Investment Authority signed a memorandum of understanding on Thursday to implement a port master plan on the Indian Ocean coastline of the archipelago. The agreement calls for the development of major ports in the coastal areas of Mangapwani and Bumbwini in the Zanzibar Islands.

f75c6c5fa093c7916415572b2365e63b.jpg

According to the memorandum, the two parties will cooperate to build a large modern port in Mangapwani, about 25 kilometers north of Malindi Port on San Island, for loading and unloading containers, general cargo, and oil and gas.

a749066a033b02dc2019bb93786da965.jpg

Mwini said that this is a major measure taken by the San government to develop the blue economy. It will develop San into a commercial and tourist center in East and Central Africa through the construction of necessary infrastructure in the future. He instructed Sang's relevant government departments to immediately conduct a feasibility study on this multi-billion-dollar project and make sure to make it a success. He also said that the Sang government will retain the plan of the previous government to build a new port in Mpiga Duri (about 3 kilometers north of Malindi Port) and build the port into a fishing port. The existing Malindi Port will be transformed into a special tourist port.Editor/Huang Lijun
 
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Hata zisipowekwa wazi, waTanganyika wamekwishakataa kuuzwa.

Kama halitambui hilo atakuwa hana akili timamu kichwani.
 
Umekosea kijana, siyo 30. Za Dubai pekee 36. Mbali za Abu Dhabi, za Sharja, za Ras Al Khaimah.

Kuna za Oman na kuna za Saudia Arabia.

Tunaongelea MoU zaidi ya 100 na Mikataba ya uendeshaji zaidi ya 1,000.

Hivi nyie mbona hampendi kujisomea? Mapoyoyo mpaka mumsikie mjigamjinga kama Slaa, aliyeishiwa mpaka nyumba kalamba, cheza na Mshumbusi?

Hivi hajaona juzi Watanzania wakienda Oman?
Watanganyika wanadai mali zao kiungwana mahakamani.Wakipuuzwa au kuona haki yao imenyanganywa watakupeleka ahera ukakutane na mishababi 72 Ikukaze twenty four seven
 
Walie tu? Mwenye wivu ajinyonge, bado yupo kwenye MoU wakati sasa hivi watu wapo kwenye mikataba kedekede na mingine ishaanza kazi. Jionee:

On 28, Tanzania’s Zanzibar and Oman Investment Authority signed a memorandum of understanding on Thursday to implement a port master plan on the Indian Ocean coastline of the archipelago. The agreement calls for the development of major ports in the coastal areas of Mangapwani and Bumbwini in the Zanzibar Islands.

f75c6c5fa093c7916415572b2365e63b.jpg

According to the memorandum, the two parties will cooperate to build a large modern port in Mangapwani, about 25 kilometers north of Malindi Port on San Island, for loading and unloading containers, general cargo, and oil and gas.

a749066a033b02dc2019bb93786da965.jpg

Mwini said that this is a major measure taken by the San government to develop the blue economy. It will develop San into a commercial and tourist center in East and Central Africa through the construction of necessary infrastructure in the future. He instructed Sang's relevant government departments to immediately conduct a feasibility study on this multi-billion-dollar project and make sure to make it a success. He also said that the Sang government will retain the plan of the previous government to build a new port in Mpiga Duri (about 3 kilometers north of Malindi Port) and build the port into a fishing port. The existing Malindi Port will be transformed into a special tourist port.Editor/Huang Lijun
Hizo hazituhusu Tanganyika.
Umerukwa na akili kiasi kwamba hata hujui tofauti ya nchi hizi mbili?
 
Mnatenda dhambi mbaya sana ya kupotosha taifa lenu. Mnatenda dhambi mbaya sana ya kumchonganisha Samia na watu anaowaongoza kwa nia tu za kuutaka urais wa JMT 2015.

Dhambi mbaya mnayoifanya mtakuja kuilipia siku moja isiyokuwa na jina wala isiyojulikana tarehe yake.
EEeeenHeeeee Heeee!
Ni wewe kweli au huyu ni 'Steven Joel Ntamusana' mwingine, na siyo yule aliyekuwa akijigamba na wanasheria wa maPhD!

Kule kupotosha ulikokuwa unajitahidi sana kukufanya humu jamvini hukukumbuki tena?

sasa umegeuka na kuwa mtu wa kulilia pembeni kama yatima?
 
Back
Top Bottom