Hawana lolote wale wanafiki tuSafi sana acha tuuzwe tu. Kina Lema, Mnyika, Lissu, Mbowe, Halima Mdee walipokuwa bungeni wakiwapigania watanzania walikuwa wanazomewa na kutukanwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana lolote wale wanafiki tuSafi sana acha tuuzwe tu. Kina Lema, Mnyika, Lissu, Mbowe, Halima Mdee walipokuwa bungeni wakiwapigania watanzania walikuwa wanazomewa na kutukanwa.
Jafary Nimeiry kule Sudan, Hosein Mubarak pale Egypt, Mugabe nk walifanya mambo kinyume na wananchi watakavyo na wananchi waliwang'oa kwa maandamano tuu.sasa tunafanyaje
Ni wasengelema KabisaTaifa la vilaza hili na kwa madudu haya utakuta Honorable causa akija kustafu anaandika kitabu akijutia kuuza bandari kwa waarabu, viongozi wa kiafrika ni wanafiki wakubwa
Sahihi kama hii walivyo fanyawazalendo wamesha "ziscan" wanasubiri right time wapige kwenye mshono
Halafu zote hizo zije kuitwa HGA huku IGA ikisimama....manake sidhani kama kutakuwa na IGA 30 zitakazo kuja kuridhiwa na kupitishwa na Bunge.....tumeona Phase 1 Project 1 sasa tukiambiwa zimo zote mumo? Phase 1-30 Project 1-30 halafu ukizingatia hii phase one peke yake yaani Early Project imechukua miaka miwili, kiunagaubaga Miaka 30 ukiondoa miaka ya Miradi yenyewe! Halafu tukisema milele wanasema hakuna mstari au kipengele kinachosema miaka 100! Ebo!
Nitaivaa chupi yangu kichwani na kurandaranda uje sasa uniite Chizi uone
Umekosea kijana, siyo 30. Za Dubai pekee 36. Mbali za Abu Dhabi, za Sharja, za Ras Al Khaimah.Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Walie tu? Mwenye wivu ajinyonge, bado yupo kwenye MoU wakati sasa hivi watu wapo kwenye mikataba kedekede na mingine ishaanza kazi. Jionee:Mlimkataa Hashim Rungwe na ubwabwa wake hivyo endeleeni kulia lia
Majuha hayo! YanatapatapaKumbe umesikia, nikajua umeziona
Hata zisipowekwa wazi, waTanganyika wamekwishakataa kuuzwa.Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.
Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.
Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.
Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.
Watanganyika wanadai mali zao kiungwana mahakamani.Wakipuuzwa au kuona haki yao imenyanganywa watakupeleka ahera ukakutane na mishababi 72 Ikukaze twenty four sevenUmekosea kijana, siyo 30. Za Dubai pekee 36. Mbali za Abu Dhabi, za Sharja, za Ras Al Khaimah.
Kuna za Oman na kuna za Saudia Arabia.
Tunaongelea MoU zaidi ya 100 na Mikataba ya uendeshaji zaidi ya 1,000.
Hivi nyie mbona hampendi kujisomea? Mapoyoyo mpaka mumsikie mjigamjinga kama Slaa, aliyeishiwa mpaka nyumba kalamba, cheza na Mshumbusi?
Hivi hajaona juzi Watanzania wakienda Oman?
Hizo hazituhusu Tanganyika.Walie tu? Mwenye wivu ajinyonge, bado yupo kwenye MoU wakati sasa hivi watu wapo kwenye mikataba kedekede na mingine ishaanza kazi. Jionee:
On 28, Tanzania’s Zanzibar and Oman Investment Authority signed a memorandum of understanding on Thursday to implement a port master plan on the Indian Ocean coastline of the archipelago. The agreement calls for the development of major ports in the coastal areas of Mangapwani and Bumbwini in the Zanzibar Islands.
![]()
According to the memorandum, the two parties will cooperate to build a large modern port in Mangapwani, about 25 kilometers north of Malindi Port on San Island, for loading and unloading containers, general cargo, and oil and gas.
![]()
Mwini said that this is a major measure taken by the San government to develop the blue economy. It will develop San into a commercial and tourist center in East and Central Africa through the construction of necessary infrastructure in the future. He instructed Sang's relevant government departments to immediately conduct a feasibility study on this multi-billion-dollar project and make sure to make it a success. He also said that the Sang government will retain the plan of the previous government to build a new port in Mpiga Duri (about 3 kilometers north of Malindi Port) and build the port into a fishing port. The existing Malindi Port will be transformed into a special tourist port.Editor/Huang Lijun
EEeeenHeeeee Heeee!Mnatenda dhambi mbaya sana ya kupotosha taifa lenu. Mnatenda dhambi mbaya sana ya kumchonganisha Samia na watu anaowaongoza kwa nia tu za kuutaka urais wa JMT 2015.
Dhambi mbaya mnayoifanya mtakuja kuilipia siku moja isiyokuwa na jina wala isiyojulikana tarehe yake.
Eeeee!Kwani alihitaji ruhusa yenu ?