Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

Mimi mtanzania kama wewe na siuzwi kwa mwarabu yoyote na sitokuja kuuzwa kwa mtu yoyote.

Huu uanaharakati hauna tija iwapo mwisho wa siku bandari inaingiza pato dogo kuliko uwezo wake halisi.

Kagame alitucheka enzi za JK namna tunavyoshindwa kuitumia rasilimali ya bahari yenye bandari iliyo katika nchi yenye bahati ya kijiografia.

Hata huko kaburini Nyerere anatucheka tukiwa tumejaaliwa rasilimali za kila aina na mpaka leo miaka 24 baada ya kifo chake tumenasa kwenye mijadala na siasa za maongezi za JF.
Kwahiyo ndio tujiingize utumwani na kugawa kila kitu bure?
 
Mzanzibari aende kuongoza Zanzibar, Mtanganyika aiongoze Tanganyika

Vice versa hakuna uchungu wa rasilimali
Hili linawezekana tu kama kukiwa na serikali 3, kama ilivyopendekezwa kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba (iliyotokana na maoni ya umma).
 
Muda sio mrefu utaona mikataba ya kibiashara ikisainiwa na suala hili kumalizika kabisa. Hakuna kitu serikali itataka kufanya halafu ikashindwa kufanikisha nia yake.
Serikali ni nini, nani na inawajibika kwa nani ? Kwamba kwa hao watendaji ni kitu kimoja na hakuna mvutano ?
Samia kaamua kutumia njia ya demokrasia njia ya kistaarabu vinginevyo angekuwa JPM suala hili kitambo keshalimaliza, usingemsikia Mwabukusi au kima mwingine yoyote akifungua mdomo wake.
Haya ndio yale sababu ulikuwa mtumwa hapo kale leo ukiwa kijakazi unaona sawa na unaona yule anayekufanya kijakazi amekupa hisani (Hii ndio settling for mediocrity) hatuangalii wala kuzungumzia mabaya na mazuri tumejikita kwenye kusifu na kutetea....
Nasikitikia madhara ya nguvu kubwa wanayotumia wapinzani wa awamu ya sita katika kujaribu kuja kufanikisha malengo yao ya baadae, inaweza ikavunja nchi yenye miaka karibu 60 kwa sababu ya siasa zao za chuki badala ya kujikita kwenye mantiki nzima ya hoja.
Nini kazi ya wapinzani ? Nadhani wanaokosea ni wale ambao tumewapa Hisani ya kusimamia rasilimali za mpaka vitukuu wanavyodhani kwamba wao ndio wana ufahamu zaidi ya kila mtu, na kila anayepinga au kudhani tofauti ndio ana makosa..., Kwanini kusiwe na Transparency kwenye kila kitu (na ukizingatia mikataba yote iliyoshasainiwa ilikuja kuwa na ukakasi huwezi kuwalaumu watu wanaoshituka) Tulidhani JPM alipiga propaganda kuhusu madudu ya mradi wa Bagamoyo ila kwa madudu haya makes you wonder kama kulikuwa hakuna ukweli
 
Mkataba wa bandari ulivujishwa haikutakiwa watanzania wajue kuna umuhimu wa katiba mpya ipo siku ccm wataidai katiba mpya

Well hawatokaa wajaribu hilo, maana katiba ya sasa inawapa nguvu, ndio imewawezesha kudumu mpaka sasa
 
Kumbe umesikia, nikajua umeziona
Kuona au kuisikia kwake hakuondoi ukweli kuwa amesaini MoU 30..!! SI kila usilolijua basi halipo. Tusiwe kama mbuni ambaye akikimbizwa, yeye anachojua asipokuona basi haupo. Kwa uelewa huo anaamua kuingiza kichwa kwenye majani ili asikuone, na kutokukuona kwake anajua haupo.
 
Serikali ni nini, nani na inawajibika kwa nani ? Kwamba kwa hao watendaji ni kitu kimoja na hakuna mvutano ?

Haya ndio yale sababu ulikuwa mtumwa hapo kale leo ukiwa kijakazi unaona sawa na unaona yule anayekufanya kijakazi amekupa hisani (Hii ndio settling for mediocrity) hatuangalii wala kuzungumzia mabaya na mazuri tumejikita kwenye kusifu na kutetea....

Nini kazi ya wapinzani ? Nadhani wanaokosea ni wale ambao tumewapa Hisani ya kusimamia rasilimali za mpaka vitukuu wanavyodhani kwamba wao ndio wana ufahamu zaidi ya kila mtu, na kila anayepinga au kudhani tofauti ndio ana makosa..., Kwanini kusiwe na Transparency kwenye kila kitu (na ukizingatia mikataba yote iliyoshasainiwa ilikuja kuwa na ukakasi huwezi kuwalaumu watu wanaoshituka) Tulidhani JPM alipiga propaganda kuhusu madudu ya mradi wa Bagamoyo ila kwa madudu haya makes you wonder kama kulikuwa hakuna ukweli
Usidhani mpaka kufikia hatua ya serikali kuutaka uwekezaji wa DPW hakuna utafiti wa kina uliofanyika, usijidanganye kuhusu hilo.

Wengi tunaopiga kelele kuupinga huu uwekezaji hatuna hata biashara ndogo tu zinazotuweka karibu na bandari kuweza kujua ni ugumu gani unaozuia ufanisi wa shughuli za kila siku mahali pale. Tupo kishabiki zaidi.

Muda sio mrefu inakwenda kuandikwa mikataba ya kibiashara kati ya DPW na serikali ya Tanzania na nyinyi pingapinga mtakuwa wa kwanza kufaidika na urahisishwaji wa shughuli za bandari.

Mmeshazoeleka nyinyi wazee wa kupinga kila kitu, mlipinga hata matumizi ya usafiri wa mwendo kasi katika jiji la Dar na leo mnaamka saa kumi na mbili asubuhi kuuwahi ili mfike mapema katika shughuli zenu.
 
Kwahiyo ndio tujiingize utumwani na kugawa kila kitu bure?
Kujiingiza utumwani ni tatizo binafsi la akili ya mtu. Hakuna wa kukufanya mtumwa katika karne ya sasa. Ni ulimwengu wa biashara na uwekezaji wa kisasa.

Serikali imeangalia ni mwekezaji yupi mwenye vifaa vya kisasa atakayeongeza tija pale bandarini. Na taasisi za wafanyabiashara zimemuelewa vyema nini anataka kufanya rais wa awamu ya sita.
 
Ipo tofauti ya makubaliano na mkataba?
Makubaliano [agreement] mkataba [contract]. Makubaliano huanza kwanza kisha mkataba hufuatia.

Kilichopelekwa bungeni ni makubaliano na kinachokwenda kusainiwa na kuingia katika hatua za utendaji ni kuandikwa kwa mikataba kulingana na maslahi ya pande mbili ambazo ni serikali ya Dubai na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wapotoshaji wanakuja na hoja kwamba kilichopelekwa bungeni ni mkataba wakati ukweli ni kuwa yale ni makubaliano yanayowezesha mikataba kuja kuandikwa. Ndio wanaita IGA ambazo zinabariki kuandikwa kwa HGA na pande mbili zinazoingia katika hatua za utekelezaji wa huo uwekezaji.
 
Usidhani mpaka kufikia hatua ya serikali kuutaka uwekezaji wa DPW hakuna utafiti wa kina uliofanyika, usijidanganye kuhusu hilo.

Wengi tunaopiga kelele kuupinga huu uwekezaji hatuna hata biashara ndogo tu zinazotuweka karibu na bandari kuweza kujua ni ugumu gani unaozuia ufanisi wa shughuli za kila siku mahali pale. Tupo kishabiki zaidi.

Muda sio mrefu inakwenda kuandikwa mikataba ya kibiashara kati ya DPW na serikali ya Tanzania na nyinyi pingapinga mtakuwa wa kwanza kufaidika na urahisishwaji wa shughuli za bandari.

Mmeshazoeleka nyinyi wazee wa kupinga kila kitu, mlipinga hata matumizi ya usafiri wa mwendo kasi katika jiji la Dar na leo mnaamka saa kumi na mbili asubuhi kuuwahi ili mfike mapema katika shughuli zenu.
Utafiti kama ule wa bwawa la Nyerere wa mwaka 1979, kuja kuutumia kujenga bwawa mwaka 2020? Nakuambiwa ni suala la muda tu utarudi JF kuja kulalama hapa..!!

Kwani mpaka sasa kuna mikataba mingapi ya hovyo tushaingizwa? Hiyo nayo unadhani haikuwa na utafiti?
 
Uelewa ni tatizo letu. Na pia kuna suala la watu kutumiwa na hao mafisadi wanaozoea kuneemeka kwa uendeshaji wa bandari wa sasa.

Kumbuka kuwa SSH ni muendelezaji wa sera zile zile za JPM. Angekuwa hai hayati JPM mpaka muda huu mradi wa kuendeleza bandari ungeshasainiwa na hawa hawa wanaopinga wangeupokea kwa kupiga makofi mengi.
 
Usidhani mpaka kufikia hatua ya serikali kuutaka uwekezaji wa DPW hakuna utafiti wa kina uliofanyika, usijidanganye kuhusu hilo.
Kwamba uwekezaji ndio umeanza kufanyika leo Tanzania ?!!! Miradi mingapi na Ubinafsishaji upi ambao umekuwa positive..., Mwisho wa siku ni watu kuja kuandika vitabu na kuomba misamaha kwamba walikosea walichofanya
Wengi tunaopiga kelele kuupinga huu uwekezaji hatuna hata biashara ndogo tu zinazotuweka karibu na bandari kuweza kujua ni ugumu gani unaozuia ufanisi wa shughuli za kila siku mahali pale. Tupo kishabiki zaidi.
Kwahio kwa akili yako unadhani effect ya Bandari Kuu ya Tanzania ni kwa wale ambao wapo kwenye vicinity ya Bandari pekee; na Nani aliyekwambia watu wanapinga kumpa mtu lease / uendeshaji (hata aliyekuwa pia si alipewa mkataba) au hayo huyajui ? Tena na mkataba ule ulikuwa mbovu (kwahio walewale ambao walileta mkataba mbovu ambao ilibidi uwe wa miaka mitano ya uchunguzi alafu iongezwe iwe kumi badala yake hata kabla ya miaka mitano kuisha ikaongezwa kuwa kumi na tano)....; Kwamba hawahawa walioharibu jana leo ndio tuwaamini kwamba wanachosema ni sawa and they will do the right thing ?!!! (No Question Asked)!!! Kwa kufanya hivyo tutakuwa hatutekelezi wajibu wetu kama walipa kodi
Muda sio mrefu inakwenda kuandikwa mikataba ya kibiashara kati ya DPW na serikali ya Tanzania na nyinyi pingapinga mtakuwa wa kwanza kufaidika na urahisishwaji wa shughuli za bandari.
Kwamba bila DPW wala bila kurekebisha vitu watu wanavyolalamika au labda kupunguza muda wa lease / tender au kuondoa exclusivity hizo shughuli hazitarahisishwa...; tena sababu jamaa watakuwa na mandate bila kuingiliwa na kuchunguzwa kwa undani usishangae kuona madawa ya kulevywa na vitu vya ajabu ajabu vikazagaa (after all it depends katika makubaliano tumewapa leeway kiasi gani)
Mmeshazoeleka nyinyi wazee wa kupinga kila kitu, mlipinga hata matumizi ya usafiri wa mwendo kasi katika jiji la Dar na leo mnaamka saa kumi na mbili asubuhi kuuwahi ili mfike mapema katika shughuli zenu.
Aisee hao pingapinga ndio wanatakiwa sababu through challenges na criticism watu ndio wanaboresha; kwani hao pingapinga walipinga kuwahi asubuhi au huenda mchakato ulivyokwenda na value for money baina ya uwekezaji na matokeo..., By the way Usafiri Dar ?!!! uliza kipindi cha UDA katika its peak na zile basi Icarus Kumba-Kumba wakwambie mambo yalikuwaje na usafiri huu ulikuwaje....; Tusichanganye mambo utendaji mbovu, wizi, uwekezaji na usimamizi mbovu..., they are not necessarily the same; uwekezaji sio uhakika wa kuondoa wizi; na wala kushika wezi na kuwawajibisha hakuhitaji uwekezaji (If anything Serikali ndio inabidi ianze ku-perform)
 
Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai.

Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk.

Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi waTanganyika wote mtalala uchi barabarani mkigalagala na kulia.

Ombi, MOU hizo zote 30 alizosaini, ziwekwe wazi.

Kumbe inadaiwa!!
Kumbe inasemekana!!
Kuna taarifa zinadai!!
 
Ilisainiwa 37.

Mmoja tu tunapiga kekele hivi..

Wapili kuna watu watatembea uchi barabarani.

Wa tatu ipo hatari ya nusu ya watanganyika kuwa vichaa.
 
Kwamba uwekezaji ndio umeanza kufanyika leo Tanzania ?!!! Miradi mingapi na Ubinafsishaji upi ambao umekuwa positive..., Mwisho wa siku ni watu kuja kuandika vitabu na kuomba misamaha kwamba walikosea walichofanya

Kwahio kwa akili yako unadhani effect ya Bandari Kuu ya Tanzania ni kwa wale ambao wapo kwenye vicinity ya Bandari pekee; na Nani aliyekwambia watu wanapinga kumpa mtu lease / uendeshaji (hata aliyekuwa pia si alipewa mkataba) au hayo huyajui ? Tena na mkataba ule ulikuwa mbovu (kwahio walewale ambao walileta mkataba mbovu ambao ilibidi uwe wa miaka mitano ya uchunguzi alafu iongezwe iwe kumi badala yake hata kabla ya miaka mitano kuisha ikaongezwa kuwa kumi na tano)....; Kwamba hawahawa walioharibu jana leo ndio tuwaamini kwamba wanachosema ni sawa and they will do the right thing ?!!! (No Question Asked)!!! Kwa kufanya hivyo tutakuwa hatutekelezi wajibu wetu kama walipa kodi

Kwamba bila DPW wala bila kurekebisha vitu watu wanavyolalamika au labda kupunguza muda wa lease / tender au kuondoa exclusivity hizo shughuli hazitarahisishwa...; tena sababu jamaa watakuwa na mandate bila kuingiliwa na kuchunguzwa kwa undani usishangae kuona madawa ya kulevywa na vitu vya ajabu ajabu vikazagaa (after all it depends katika makubaliano tumewapa leeway kiasi gani)

Aisee hao pingapinga ndio wanatakiwa sababu through challenges na criticism watu ndio wanaboresha; kwani hao pingapinga walipinga kuwahi asubuhi au huenda mchakato ulivyokwenda na value for money baina ya uwekezaji na matokeo..., By the way Usafiri Dar ?!!! uliza kipindi cha UDA katika its peak na zile basi Icarus Kumba-Kumba wakwambie mambo yalikuwaje na usafiri huu ulikuwaje....; Tusichanganye mambo utendaji mbovu, wizi, uwekezaji na usimamizi mbovu..., they are not necessarily the same; uwekezaji sio uhakika wa kuondoa wizi; na wala kushika wezi na kuwawajibisha hakuhitaji uwekezaji (If anything Serikali ndio inabidi ianze ku-perform)
Mkuu unakuja muda wa kuisaini hiyo mikataba ya utekelezaji kati ya DPW na serikali ya Tanzania, jitahidi usikosekane katika hiyo michakato ili ufaidike pia na keki ya taifa hili.

Huko nyuma ulifanyika utapeli kwenye masuala ya mikataba, hivi sasa nchi ina wasomi wengi wa kila sekta wenye uwezo wa kuchambua kila kipengele kinachoandikwa kwenye mkataba hivyo hakuna wasiwasi kwamba tupo kwenye mikono salama sana.

Hata kujadili suala la DP na yote yenye kuhusu uwekezaji wao kwa uwazi kama tunavyofanya hivi sasa ni sehemu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kuja hapa Tanzania.
 
If you really believe what you have just written..., Pole Sana is all I can Say; Lakini kama unajua unachoandika sicho ila basi tu unaamua kupotosha ili unufaike kwa lipi I do not know..., lakini I doubt if what you are getting is a price worth of selling your soul (unless hata conscious hauna tena)

By the way nikukumbushe tu madudu aliyoyavumbua CAG ya upotevu wa mapesa ya UMMA lukuki hivi recently, ilikuwa ni AWAMU gani ?!!
 
Back
Top Bottom