Nimedokezwa, Palamagamba Kabudi ameongezewa ulinzi kuelekea Mkutano wa Dharura wa CCM huko Dodoma

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Nchimbi anatolewa kama ikiwa hivyo basi jeshi wakati wenu ni huu hakuna wakati mwingine tena.Hii nchi itakuwa imeoza sasa lakini siamini hizi propaganda tu
Hao unao wataja ndiyo wanataka em-boy atetee walichofanya oktoba 2025.
Ili kulinda wasishitakiwe na kuwajibishwa.
Labda junior rank military officers wamtose Yona baharini kuokoa jahazi lisizame na Yona afikishe ujumbe mji wa Ninawi usiangamizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…