Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
 
Kwahiyo nyie sio mwili mmoja
 
Kakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi. Msue!
 
Endelea kumficha hizo mali ili ukifa wafaidi wajanja.
 
Back
Top Bottom