Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Hivi huo muda wa hadi kuiagiza ATM ikupatie stakabadhi (risiti) mnautoa wapi? Mimi huo muda wa kuisubiri ATM initolee stabadhi sina. Tumieni njia za kisasa za kujua salio, kama Simbanking kwa CRDB , Benki Mkononi kwa NMB nk. Huko hakuna kuacha ushahidi.
 
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
I don't know if your story is either True or Wishful thinking,

Ila kama ni kweli una vitu na huambii mwenza wako, what if ukafa au kupata matatizo makubwa ghafla. Huoni kama vitapotea?? Na kwanini uwe na mke na umfiche?
 
Back
Top Bottom