Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Nimeshaandika hapo juu, WA ndoa, songea tukae hawana shida hata akijua anajua sio zake na hata tukiachana Hana chake
Kama umezipata tayari mmeshaoana acha ajue tuu la sivyo utaishi maisha ya hovyo na kuviziana, ndoa ni for life mengine yote kama divorce, kutengana au kifo ni matokeo tuu you can’t control,au uliingia ukiwa na plan ya kutoka
 
Ushauri sio mbaya sana ngoja tuone
 
Nikiwaza yale ya mchezaji wa Simbabwe Ndoro aliyofanÿiwa na mke yakampelekea dipression hadi kufia ndan hadi kukaa siku nne...naona ni sahihi tu hawa viumbe tuwafiche tu baadhi ya vitu...hii kuishi kwa kusema ni mwili mmoja ni mtego tu
Mtego mkubwa snaaa
 
KUNA WANAWAKE WANA HURUMA SANA...KUISHI NA WATOTO WENYE AKILI CHANGA NAMNA HII...

NA KUNA WATOTO WAMEBAHATIKA KUGUSA HELA WAKIWA BADO VICHANGA...

MFANO NI KAMA HAKA KATOTO...KAKIKUA KATAACHA UTOTO.
Siku ukipigwa za uso ndio utajua Mimi ni mtoto au mzee
 
🤣🤣🤣 Kwahyo hamna mda app network inakua down, JF Raha san
Muda wowote app inawezakuwa down,ila kama ni muhimu sana kujua salio linalobaki utakapotoa hela,unawezatumia ATM pia.risiti huwa tunatoa ili tupeleke kwa wazee waliotutuma kutoa hela tu.
 
Muda wowote app inawezakuwa down,ila kama ni muhimu sana kujua salio linalobaki utakapotoa hela,unawezatumia ATM pia.risiti huwa tunatoa ili tupeleke kwa wazee waliotutuma kutoa hela tu.
Mimi sasa kuna mahesabu ilikua naenda kuyafanya ikabidi nitoke na risiti
 
Sir God akikupenda zaidi ghafla hivyo viwanja na mashamba havitamilikiwa na watu baki?
Usinikumbushe jamaa mmoja alojenga nyumba kwa siri mkewe na watoto hawajui anaejua ni rsfikinyake jamaa akafariki familia inaangaika pa kukaa wakarusi kijijini yuke rafiki akagundua nyumba haijulikani akaitaifisha kuwa yake achemi ujinga huu wa kumficha mkeo mali zako.
 
Ushamba tu, kwani ukitoa hela atm mpaka uchukue risiti? Kama ni balance mbona rahisi sana kuichek siyo lazima uwe unatafuna makaratasi kila siku
 
Unaficha nini na nyie ni mwili mmoja? Acha ubinafsi bro
 
Screenshot_20250820_175839_Chrome.jpg
images (9).jpeg
 
Ndo hiyo ya blue unayo?
Nimekuonyesha hapo wewe ambae kichwan ni 0 ujue kipi ni kipi, uangalie namimi nilisema nini, hiyo ni wewe uangalie tuu ujifunze hamna haja ya kujibu, siku njema
 
Kuna KENGE hapa ndani hata hazijui POCHI ni ipi na MKOBA ni upi,ujuaji mwingi
 
Back
Top Bottom