Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Wa
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Kwahiyo ww hujasoma hata primary ulishindwa kujitetea kuwa hiyo pesa ni ya workmate wako inahitajika kununulia furniture za office
 
Duh pole sana, zahma hiyo mkuu ni sawa na story ya mzee Tola anaye eat gizani🤣🤣🤣
 
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
😄😄 Mimi hua siangalii salio kwa hivyo vikaratasi vya Atm bali hua nacheki kupitia app ya nmb simubanking au crdb, lengo ni sitaki kijulikane chochote
 
Balance yenyewe unakuta 37,400
Mna vituko ndugu wajumbe

Binadamu tunakufa muda wowote hiyo balance unayomficha mkeo na watoto inaishia mikononi mwa bwana Teller
 
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Tabia ya uchoyo umejifunzia wapi ?
 
Huyo ni hawara huwezi kunficha mkeo mali ulizonazo wakati unawatoto na Mungu muda ukifika anatutanguliza wanaume kutupenda zaidi .Hayo mali atatumia nani nawe unawatoto?
 
Mtu anayeomba risiti ATM leo hana tofauti na mtu ambaye hajui kununua umeme kwa simu mpaka leo.

Unawezakuwa na smartphone ukawa na app,ukaangalia salio bure kwa idadi utakayotaka,bila kukatwa 300 kwenye ATM.
Bila kuuza siri pasipo na ulazima kama namna hiyo.
 
Back
Top Bottom