Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Sema pochi kaka tena.Kiswahili kigumu sana sema hilo neno mara nyingi huwa nasikia wanawake ndio wanatunza pesa kwenye pochi.Sio kesi lakini kiswahili kina maneno mengi sana
 
Sawa, BAKUBAKU unaijua
 
Kesi ndogo sana hiyo ila umeshindwa kuivuka,
Ungemwambia kua kuna hela ziliingizwa kwenye hiyo Accont yako na mshkaji wako coz kuna mishe mnataka kufanya,zipo mbinu nyingi tu ungetumia kukwepa hiyo issue,

Mwanaume hua hakubali kukamatika hata kama amekamatika.
 
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Ndio maana pembezoni mwa mji kuna mapagale yamejazana hayana wenyewe kumbe wenyewe walishakufa zamani sana bila kuwaeleza watu kuna kuna sehemu nimeotesha mali yangu sasa yamekaa tu yanaotea majani yamekua km msitu miaka nenda miaka rudi
 
Kesi ndogo sana hiyo ila umeshindwa kuivuka,
Ungemwambia kua kuna hela ziliingizwa kwenye hiyo Accont yako na mshkaji wako coz kuna mishe mnataka kufanya,zipo mbinu nyingi tu ungetumia kukwepa hiyo issue,

Mwanaume hua hakubali kukamatika hata kama amekamatika.
Kweli bado sijakubali napanga namna ya kumpanga
 
Ndio maana pembezoni mwa mji kuna mapagale yamejazana hayana wenyewe kumbe wenyewe walishakufa zamani sana bila kuwaeleza watu kuna kuna sehemu nimeotesha mali yangu sasa yamekaa tu yanaotea majani yamekua km msitu miaka nenda miaka rudi
Vitisho hivyo sasa
 
Hii yote ni ubinafsi na kuabudu mali,ndio maana unahofia mkiachana mtagawana mali

Kwa situation iliyotokea atawaza mengi na kuhisi una mengi ambayo unayafanya pembeni

Mambo hayatakuwa Sawa tena
Usimuamini sana Mwanamke,utakuja kulia na kujuta,kaa kimachale tu,

Mwanamke kujua kipato chako au mali zako zote ni sawa na kuuza ramani ya vita.
 
Back
Top Bottom