Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Huyo ni hawara huwezi kunficha mkeo mali ulizonazo wakati unawatoto na Mungu muda ukifika anatutanguliza wanaume kutupenda zaidi .Hayo mali atatumia nani nawe unawatoto?
Mimi WA ndoa na ndio mfumo wangu huo, yapo unayokua lakini kuna Mipaka, kwamba mwanaume ndio anakufa kwanza sio kwamba ndio formula
 
Mtu anayeomba risiti ATM leo hana tofauti na mtu ambaye hajui kununua umeme kwa simu mpaka leo.

Unawezakuwa na smartphone ukawa na app,ukaangalia salio bure kwa idadi utakayotaka,bila kukatwa 300 kwenye ATM.
Bila kuuza siri pasipo na ulazima kama namna hiyo.
🤣🤣🤣 Kwahyo hamna mda app network inakua down, JF Raha sana
 
Balance yenyewe unakuta 37,400
Mna vituko ndugu wajumbe

Binadamu tunakufa muda wowote hiyo balance unayomficha mkeo na watoto inaishia mikononi mwa bwana Teller
Sasa 37400 inauwezo wa kua kwenye bank account yenyewe tuu?? Mimi sijui hilo
 
ANAESEMA NIMEKOSEA KUTUMIA NENO "POCHI" AJE HAPA ASEME ILITAKIWA NITUMIE NENO GANI? MSIKOSOE TUU HALAFU MKAINGIA MITINI.
 
Aisee acha tu, hapo ni baada ya kumwambia kuwa nina hali mbaya sana kiuchumi kama mwezi mzima....nilijisikia Vibaya na Aibu hapohapo ila mwendo huohuo ukaendelea.
Namimi ni hivyo baada ya kulalamika nina Hali mbaya ya kiuchumi nashangaa natajiwa balance iliyopo kwenye account
 
Back
Top Bottom