Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
ZIle risiti zinavyovuja wino vile unatafuna vipi mkuu?
 
Wanawake mmeona?
Sasa endeleeni kujifanya malaika na kubweteka muache kutafuta vyenu..!!

Mwanaume hata akisema pesa sina nisaidie kulipa ada ya mtoto usitoe, mpikie ale ashibe apate nguvu ya kutafuta ada..!!
 
A3EE2FC8-5E63-427B-8D13-D45ED9B1ACEE.jpeg
 
Mambo ya kizamani ukifa kama hakuna mtu aliye-claim ndani ya muda fulani hela inapelekwa HAZINA wahuni wanaenda kugongea malaya
 
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)

Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.

Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.

ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Chai
 
Back
Top Bottom