comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kwahiyo nyie sio mwili mmojaJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Mamayako mzazi ndio ameolewaAliyeolewa ni nani wewe au mke wako?
SIO Kwa kilakituKwahiyo nyie sio mwili mmoja
Kakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi. Msue!Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Hamna nilimwambia mwenyewe kuna hela akachukue kwenye pochi nikasahau kuna risiti nimeisahau paleViwanja na mashamba ni vyema usimfiche ila huo utaratibu wenu wa ku- sachiana pochi dah!
ila kweliKakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi. Msue!
Ndio Maisha yanavyotakaMnaishi kama ma CIA
Nimeshaandika hapo juu, WA ndoa, songea tukae hawana shida hata akijua anajua sio zake na hata tukiachana Hana chakeNi mke wako wa ndoa au sogea tukae
Kama ni hivyo hamna shida ni vizuri.Hamna nilimwambia mwenyewe kuna hela akachukue kwenye pochi nikasahau kuna risiti nimeisahau pale
Uzembe ni wanguKama ni hivyo hamna shida ni vizuri.
Endelea kumficha hizo mali ili ukifa wafaidi wajanja.Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Kuna kitu nilitaka kuangalia vzuri nikaondkka na karatasiPale ATM kunakuwaga na kile ki dustbin usijifanye huku kiona