comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #21
Haina shidaEndelea kumficha hizo mali ili ukifa wafaidi wajanja.
hatokaa ajue kingineHao viumbe ni wakuishi nao kijasusi Vinginevyo hautaamini
Pamoja sana comradeKuna kitu nilitaka kuangalia vzuri nikaondkka na karatasi
Sawa, BAKUBAKU unaijuaSema pochi kaka tena.Kiswahili kigumu sana sema hilo neno mara nyingi huwa nasikia wanawake ndio wanatunza pesa kwenye pochi.Sio kesi lakini kiswahili kina maneno mengi sana
Kiswahili kigumu kaka ndio kwanza nalisikia leoSawa, BAKUBAKU unaijua
Uzembe ni wangu
Aisee, kwa hiyo unamiliki pochi??🤔🤔Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi,
Sasa hiyo ni jina pia ya pochi ya kiume,wallet ni kingerezaKiswahili kigumu kaka ndio kwanza nalisikia leo
Poa poaSasa hiyo ni jina pia ya pochi ya kiume,wallet ni kingereza
Aisee, kwa hiyo unamiliki pochi??🤔🤔
Namiliki BAKUBAKU sio pochi, wewe ulitaka niandike namiliki nini?Aisee, kwa hiyo unamiliki pochi??🤔🤔
🤣🤣🤣Mwambie za wajasiriamali wezako wamekupa rejesho lao wao wapo Iran
Ndio maana pembezoni mwa mji kuna mapagale yamejazana hayana wenyewe kumbe wenyewe walishakufa zamani sana bila kuwaeleza watu kuna kuna sehemu nimeotesha mali yangu sasa yamekaa tu yanaotea majani yamekua km msitu miaka nenda miaka rudiila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Kweli bado sijakubali napanga namna ya kumpangaKesi ndogo sana hiyo ila umeshindwa kuivuka,
Ungemwambia kua kuna hela ziliingizwa kwenye hiyo Accont yako na mshkaji wako coz kuna mishe mnataka kufanya,zipo mbinu nyingi tu ungetumia kukwepa hiyo issue,
Mwanaume hua hakubali kukamatika hata kama amekamatika.
Hapana hiyo hiyo pochi inakufaa kabisa Dada.Namiliki BAKUBAKU sio pochi, wewe ulitaka niandike namiliki nini?
Vitisho hivyo sasaNdio maana pembezoni mwa mji kuna mapagale yamejazana hayana wenyewe kumbe wenyewe walishakufa zamani sana bila kuwaeleza watu kuna kuna sehemu nimeotesha mali yangu sasa yamekaa tu yanaotea majani yamekua km msitu miaka nenda miaka rudi
Usimuamini sana Mwanamke,utakuja kulia na kujuta,kaa kimachale tu,Hii yote ni ubinafsi na kuabudu mali,ndio maana unahofia mkiachana mtagawana mali
Kwa situation iliyotokea atawaza mengi na kuhisi una mengi ambayo unayafanya pembeni
Mambo hayatakuwa Sawa tena