comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #41
Nipe mnduku ndio utakua Mimi ni dada au sistaHapana hiyo hiyo pochi inakufaa kabisa Dada.
Leo utapewa utamu wa hatari sanaaa, kama balance temboJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Vipi kama yumo humu JF na anakusoma?Kweli bado sijakubali napanga namna ya kumpanga
Haitakiwi kabisa yaniUsimuamini sana Mwanamke,utakuja kulia na kujuta,kaa kimachale tu,
Mwanamke kujua kipato chako au mali zako zote ni sawa na kuuza ramani ya vita.
Balance tembo kivipLeo utapewa utamu wa hatari sanaaa, kama balance tembo
Waambie watu mali zako zilipo kabla hujafa km humwambii kwa roho yako ya choyo ukifa tu yanabaki bila mtu baada ya miaka 100 yatachukuliwa na Serikali tu maana wewe mwenye mali haupoVitisho hivyo sasa
Vipi kama yumo humu JF na anakusoma?
Yeye anatumia FB Tu tena mara mojamojaVipi kama yumo humu JF na anakusoma?
Billion Kasoro huwa inajaa ute mwingi sana ikiona hivyoBalance tembo kivip
Hiyo ndio ubaya ubwelaaJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Unatumia pochi mzeeJuzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio mazuri hayajatulia, si akaanza kucheka bwana, ananiambia unasema huna hela wakati niliona risiti kwenye pochi inaonyesha Balance (anataja kiasi kamili kilichopo bank)
Ikabidi nikaichukue Ile risiti niitafune Yani najilaumu sijui kwanini niliiacha kwenye pochi hua nazitafuna.
Hakuna kitu sipendi na nilikua sitaki kama kujulikana na mkewangu Nina kiasi gani bank.
ila sio mbaya kajua kiasi cha pesa kilichopo bank lakini hajajua vingine ninavyomiliki ambavyo yeye hajui kama viwanja na mashamba.
Sawa mkuuWaambie watu mali zako zilipo kabla hujafa km humwambii kwa roho yako ya choyo ukifa tu yanabaki bila mtu baada ya miaka 100 yatachukuliwa na Serikali tu maana wewe mwenye mali haupo
Ni sahihi,ila mwamba kashaharibu cv tayarUsimuamini sana Mwanamke,utakuja kulia na kujuta,kaa kimachale tu,
Mwanamke kujua kipato chako au mali zako zote ni sawa na kuuza ramani ya vita.
Natumia BAKUBAKUUnatumia pochi mzee
mahela mengiBalance tembo kivip
Ikianzia kama shngap ndio tembomahela mengi
🤣🤣KATAA NDOA!!!
Umeona jinsi unavyoishi kama digidigi!
Unatumia pochi mzee