Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Hama nchi kabisaIna maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Jinsia yako tafadhali, ili nikushauri kitu. Maana kuona kichefuchefu na kutapia siyo dalili nzuri kwa watu wa jinsia fulani.Mi nilikuwa napata sup bar fulani hapa mtaani, mhudumu alikuwa amefungu tbc. Niliposhuhudia yale masifa, ghafla nilitapika. Sup yangu yote imetoka. Ndio nimeondoka hapo kama dk 20 hivi zilizopita.
Nawaza tu wewe mwanafunzi wao utakuwaje.WAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
Nawaza tu wewe mwanafunzi wao utakuwaje.
Nani kakuambia?nchi hii ina watu wangapi? Je walimu wako wangapi Tanzania?Ina maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Wewe utakuwa mjinga wewe kwa sababu si kila anayevaa tshirt ya ualimu ni mwalimuWAMEJAZANA UWANJANI MASKINI HALAFU MC HATA HASOMI MABANGO YAO ANAJIROPOKEA YA KICHWANI MWAKE.
WALIMU NI WAJINGA AISEE
[emoji3][emoji3]watakuwa wajinga kuliko waliofundishwa na walimuIkiwa walimu ni wajinga Hao wanafunzi watakuwa vipi ?
Mimi mpaka kesho nawaheshimu wale walimu wangu wa UPE walionifundisha elimu ya darasa la 1-7! Achilia mbali wale wa sekondari na chuo kikuu!Wewe je
Loh.! yamekutokaHayo ni maoni ya waalimu.we inakuuma nn?mpitishe na ww mgombea wako. We kwa akili zako matope unahisi Samia akiamua kugombea 2025 utamshinda?kaa kwa kutulia sukuma gang nyie.zama zenu ziliisha.
Na yeye anatukana watu asiowajua!🤣🤣🤣🤣Kaka kunywa maji! relux
Unamkasirikia usiemjua?
Usipanic
Kama yalivyomtoka na chuki zake binfsi juu ya walimu.utazani wamemnyima ugali.Loh.! yamekutoka
Hahaha poleKama yalivyomtoka na chuki zake binfsi juu ya walimu.utazani wamemnyima ugali.
Sio sawa! Lkn we ukireact hvo unakua haujaonesha ukomavu wa kifikra kwake!Na yeye anatukana watu asiowajua!
Au yeye ni sawa afanye vile?
Hii sio justification ya wao kutumika kisiasa. Acha upimbi.Mimi mpaka kesho nawaheshimu wale walimu wangu wa UPE walionifundisha elimu ya darasa la 1-7! Achilia mbali wale wa sekondari na chuo kikuu!
Hata kama nimewazidi elimu (mfano wale UPE), haiondoi heshima yangu kwao. Daima ninawaheshimu. Hivyo na wewe una cha kujifunza kutoka kwangu.
Kama wabunge,ambao sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Unataka walipwe sh ngapi ndio ujue kuwa walimu wanalipwa vizuri?
Umelidhika kupewa vishwikwambi?Kitando usicho lala huwezi kujua kunguni wake hivyo kwa kua wewe sio mwalimu tulia na nyamaza hujui shida na dhiki tulizo pitia kipindi cha mwendazake