Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpwayunga aondolewe BanIna maana wanaridhika kudhurula na vishikwambi mitaani na kubeti huku wakitazama ngono? Kwa nini wanashindwa kutanguliza maslahi yao mbele bali wanakuwa kama mabumunda.
Eti tayari wameshampitisha Samia 2025.
This non sense. Maslahi duni na mnataabika. Mshahara ukitoka tu baada ya wiki hamna kitu
Aachiliwe huru jamaniNasikitika Mpwayungu Village yuko kwenye kifungo cha kudumu
We endelea kuuza kangala.maswala ya kujadili Nani ANAFAA urais waachie great thinkers.Umelidhika kupewa vishwikwambi?
Hili ndilo tatizo kubwa la watu wenye akili ndogo. Huwa mnapenda mawazo na mitazamo yenu kuungwa mkono, hata kama ni ya kipuuzi.Hii sio justification ya wao kutumika kisiasa. Acha upimbi.
Hongera sana kwa uungwana unaouonyesha. Unajua humu JF mi nilidhani watu wote wana akili na ni thinkers kumbe sivyo! Mtu anaanzaje kuwatukana Walimu namna hiyo? Watu ambao hawamnyanyasi wala kumuonea, na anaacha wanaomuone kila siku (mfano:traffic police barabarani)?Mimi mpaka kesho nawaheshimu wale walimu wangu wa UPE walionifundisha elimu ya darasa la 1-7! Achilia mbali wale wa sekondari na chuo kikuu!
Hata kama nimewazidi elimu (mfano wale UPE), haiondoi heshima yangu kwao. Daima ninawaheshimu. Hivyo na wewe una cha kujifunza kutoka kwangu.
Wamwachulie aje akutane na mimi nimpe za uso tena. Nawashukuru mods zile hoja nilizotoa walizielewa wakampiga nyundo. Ajilete tena aone na upuuzi wake.Free Mpwayungu Village
Wewe utakuwa mjinga wewe kwa sababu si kila anayevaa tshirt ya ualimu ni mwalimu
Mmekazana na Walimu utadhani hii nchi kada nyingine zote zinajua kudai. Hivi juzi CAG ameibua ufisadi mkubwa uliofanywa na 'wakubwa' ndani ya Police Tanzania juu ya fedha za maafa wanazochangia mapoti, umeona kuna pot kasimamia kucha jambo hilo? Ingekuwa hizi hela ni za Walimu msingewatukana Walimu kweli?Dhana ya ualimu ni wito ndio matokeo yake hayo,hata penye kutaka haki unataka huruma ya wakuu,kwa TZ kuwa mwalimu ni adhabu kali,hauna tofaut na mtoto ambae hawez fany chochote mpaka mzaz aruhusu,BURE KABISA
Kada nyingine za kitaaluma nazo zinalipwa kama wabunge Hadi ila mfano muwatolee Walimu tu?Kama wabunge,ambao sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Lakini mbunge fedha anazolipwa kwenye kikao kimoja kwa siku ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja .
Kama hiyo haitoshi wakati mbunge analipwa kitita cha mafao yake fasta baada yakumaliza miaka mitano, lakini mwalimu aliyehudumu kwa zaidi ya miaka thelathini akistaafu inamchukua miaka kadhaa kuambulia mafao kiduchu.
Wewe ni mpuuzi mkubwa. Yaani hao sio wawakilishi wa walimu hapa Tanzania? Kuishi kwa wazazi sio hoja ya kutunyima uhuru wetu wa kujadili taifa letu. Wewe kenge.Hili ndilo tatizo kubwa la watu wenye akili ndogo. Huwa mnapenda mawazo na mitazamo yenu kuungwa mkono, hata kama ni ya kipuuzi.
Ukiulizwa hao walimu wakiojitokeza kwenye hayo maadhimisho, wanawakilisha asilimia ngapi ya walimu wote nchini, sidhani kama una jibu. Mnaleta dharau zenu za kipuuzi kwa watu ambao wanajiendeshea maisha yao wenyewe, huku nyinyi mkiishi kwa wazazi wenu! Too low.
Jibu linatokana na swali lako,labda uje kivingine.K
Kada nyingine za kitaaluma nazo zinalipwa kama wabunge Hadi ila mfano muwatolee Walimu tu?
Wewe ni mpuuzi mkubwa. Yaani hao sio wawakilishi wa walimu hapa Tanzania? Kuishi kwa wazazi sio hoja ya kutunyima uhuru wetu wa kujadili taifa letu. Wewe kenge.