Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)1. Swala sio kusafiri ukasamehewe,
Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
- Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
- Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
- Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
- Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
- Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Kwahio huo ukuta ndio sanamu?Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.
Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.
Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?
Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.
Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.
View attachment 3282296View attachment 3282297
Sanamu sio lazima iwe na muonekano wa mtu au mnyama.Kwahio huo ukuta ndio sanamu?
Akili za wapi hizi?
Ukiskia neno sanamu unaelewa nn?hivi ukuta nao ni sanamu😲😲😲
Mkuu hapo tufafanulie kidogo juu hilo "Jina lake la asili" unamaanisha nini? Jina lake kabla ya kubatizwa au kabla ya kutahiriwa au kabla ya nini?Yesu jina lake halisi ni nani?
Naheshimu mawazo na imani yako licha ya kuwa sikubaliani nayo kwa asilimia zote.
1. Umetaja hatua za kufuata, hivyo umethibisha.
2. Waumini wanaunganishwa kwa imani, itikadi na mapokeo lakini kabila, nchi au jamii wanaunganishwa na lugha, ambayo imo kwenye mila, tamaduni na desturi. Ambavyo havihusiani na dini. Dini ni imani dini si lugha.
3. Pitia upya wazo lako, naona umejaribu tu kuwasilisha mawazo niliyoyasema kwa maneno mengine. Kuhesabu shanga ni ibada ya sanamu. Hata wale wanaotumia sanamu watakwambia ni namna tu ya kuvuta hisia ya uwepo wa Mungu
Dini zote mbili zimetokea mashariki ya kati ambayo ipo sawa kiutamaduni.Wewe ndiyo umeongea.watu siyo wafuatoliaji wazuri wa dini hizi mbili. Almost kila kitu kinafanana. Isipokuwa tu wale wanasali kilatini wengine kiarabu. Hata mavazi ya mitume na wanawake enzi hizo walivaa kama waislam
Mkuu, na hata Quruan haikuandikwa na MTU MMOJAKwani Musa aliyeandika torati alikuwa mkatoliki?
Mfalme Suleiman na Daudi aliyeandika zaburu alikuwa mkatoliki?
Wale manabii kama Hagai na Danieli walikuwa wakatoliki?
Walioandika injili yaani Mathayo, Marko, Luka na Yohana walikuwa wakatoliki?
Yohana aliyeandika ufunuo alikuwa mkatoliki?
Sasa kwa kigezo kipi unasema biblia imeandikwa na Catholic? Catholic imefanya editing.
Huyo ni aina ya chawa wanaoleta nyuzi za kindezihivi ukuta nao ni sanamu😲😲😲
Mkuu, hongera kwa kutoa elimu japo kidogoKazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
- Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
- Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
- Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
- Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
- Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Uasili wake ni maana bro ,kwa sababu hata leo sio kila maneno unaweza kutafsiri kutika lugha nyingine ,kuna maneno kama ; misamiati ,nahasu ,misemo mbalimbali inatafsiri kwa muktadhq .Mkuu, umenene vyema kwamba " ndio maana Quran inasomwa kwenye lugha yake ya asili" Kwa mantiki hiyo nguvu ya kitabu hicho kipo kwa ajili ya wale wa asili yake; nje ya hapo kinapoteza uasili wake?
hivi ukuta nao ni sanamu😲😲😲
Acha takiyaUislam maana yake ni kufuata mafundisho ya Quran yaliyofikishwa kwetu na mtume Mohamad.
Hakuna mahala tumeambiwa ni kufuata hadithi zilizo andikwa zaidi ya miaka 600 baada ya mohamad.
Weka reference za Quran achana na hadithi ambazo baadhi ni watu wamejitungia kwa mapenzi yao/kwa uelewa wao...
Na wako watupuAfu hyo mijitaulo wanajifunga ya nini?nashangaa sanaa kwa wenye hii dini..eti unavua na kujifunga tu taulo...ebu muone mwijaku anavyojisumbua kujifunika...mara taulo inadondoka mbele ya wanaume wenzako....daa...aibu naiona mimi
Hiyo Ibada ilikuwa yakipagani walikuwa wanazunguka wakiwa uchi wa nyamaNa wako watupu
Kudhihilisha kafika macca!Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini zote kongwe achana na vizehebu vya juzi juzi vya kuuza mafuta na maji ya upako.
Kumbe Wakatoliki ni wakimya sana, huwa wanaacha watu wapayuke kumbe ukweli uko wazi.
Haya niambieni hapo Maka kinachofanyika hii si ndio ibada zenyewe za sanamu?
Hebu angalia hao Wadosi huyo naye sijui ndio mungu wao wamekwenda hija.
Nilichokugunduwa hii dunia, mind your business.
View attachment 3282296View attachment 3282297
Hapana!Imani zote za kikiristo na uislamu zimetokea kwenye ukatoliki.
Huyo mtu wa kwanza ana mwili laini sana.Ameolewa?Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.