hakuna muislam anayekwenda kushika al kaaba akiamini itamuokoa.atakuwa hana akili
anayesamehe ni Allah sio jiwe lile.ambao hatujawahi kwenda maka tunasamehewa na nani dhambi zetu?Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
- Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
- Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
- Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
- Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
- Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
- Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Unajua ukienda maka unasamehewa na lile jiwe madhambi ya maelfu ya miaka na siku ya mwisho litakuwa na macho na mdomo na litaongeaanayesamehe ni Allah sio jiwe lile.ambao hatujawahi kwenda maka tunasamehewa na nani dhambi zetu?
nimekuuliza waislam wasiokwenda maka wanasamehewa na nani dhambi zao?Unajua ukienda maka unasamehewa na lile jiwe madhambi ya maelfu ya miaka na siku ya mwisho litakuwa na macho na mdomo na litaongea
Turudi kwenye masanamu ya waislamu kina selemani
Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah
Kwanini mnatumia gharama kubwa kwenda kulibusu au kulipungia mkono kama halina maana yoyote?anayesamehe ni Allah sio jiwe lile.ambao hatujawahi kwenda maka tunasamehewa na nani dhambi zetu?
ibada ya hija na umra sio kwwnda kubusu jiwe peke yake.Kwanini mnatumia gharama kubwa kwenda kulibusu au kulipungia mkono kama halina maana yoyote?
Wasio na uwezo wanatakiwa wajitaidi kufanya matendo mengine ndio Allah awasamehenimekuuliza waislam wasiokwenda maka wanasamehewa na nani dhambi zao?
Kwanini mnalibusu au kulipungia kama upo mbaliibada ya hija na umra sio kwwnda kubusu jiwe peke yake.
na kule waislam hawalifuati jiwe bali ibada ya hijja na umra.
Unayakana maneno ya Mtume wa Allah kama yalivyonukuliwa kwenye hadith?anayesamehe ni Allah sio jiwe lile.ambao hatujawahi kwenda maka tunasamehewa na nani dhambi zetu?
Walishawahi kukuingilia ulivyokuwa mtoto?
Unalijua sanamu mkuu?Mods edit heading "Ikiwemo" Uislamu.
2. Kutumia lugha moja kwa ibada, imewekwa tu kufanya uniformity ili wanadam waweze kusali mahali popote
Leo hii ukitoka Dar ukaenda machame decemba, misa ZOTE zinangozwa kimachame; WEWE unabakia kufuatishia tu kama Mr.Bean
3. Narudia tena, Shanga sio Ibada!
Na kwa vijana wa kizazi hiki hawatumii tena shanga, wana counter digital (mimi mwenye ninayo digital) na sijawahi kuwa na counter ya shanga na miaka inavyo kwenda shanga zitatoweka sokoni....
Ikitokea mtu akaabudu uelekeo anaopenda yeye?huo ni mfumo na utaratibu uliowekwa na uislam.kikubwa ni matendo yako mema.ila haimaanishi huko kibla kuna kitu tuna kiabudu
Dini zote mbili zimetokea mashariki ya kati ambayo ipo sawa kiutamaduni.
Ukisema mitume walivaa kiislamu au wale wanaosema "bikra mariamu" Alijistiri kiislamu na wakati aliishi kipindi ambacho uislamu haupo.. Inakuwa si sawa
Walivaa kwa namna ya tamaduni zao si kwa namna ya, dini flani
Hujawahi kusikia maustaadh wanao lawiti watoto, au umeamua tu kujitoa ufahamu?Demi please, the scandal was all over the news, why are you so offended?
Pamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Wakatoliki lakini wapi. Tuassume kusoma hujui ila hata picha Mababu?Katika ulimwengu wa roho hakuna tofauti ya Ukatoriki na Uislamu! Zote zina taratibu za ibada zinazofana ambazo zinakatazwa na Mungu,(Walawi26:1)