Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

Ukimbozini kaenda juzi tuu,hata mwaka hajakaa ,Sasa hivi akihojiwa anajifanya mzuuunguu wa mamntooni. Shamba kweli hili limachame. Linajifanya Lina exposure ya kimataiifaa wakati waliokulia huko wanalishangaa tuu
 

Mkuu hakuna mwanasiasa haswa wa Afrika asiye mganga njaa, na kwa kiasi kikubwa walio madarakani kama CCM ndio wenye njaa na uchu, tazama namna wanavyotumia nguvu kubwa kutaka kubaki madarakani...

Wapinzani wa Tanzania wenye hulka kama ya Lema hutema nyongo kulingana na machungu waliyoyabeba pengine kutokana na misukosuko waliyopitia...

Kungekuwa na fair ground kwenye siasa, ni nadra sana ungelikutana na watu jamii ya Lema...
 
Niliwahi mwambia Lema live kuwa apunguze arrogance maana inampelekea kuonekana mtoto!

Bora hili nawewe umeliona halafu hawezi kuchuja mambo kiasi cha kumfanya aonekane mropokaji. Ana hoja mzuri shida namna ya uwasilishaji na si rahisi mtu mwenye upeo kumvumilia kumsikiliza.

Sugu nafikiri kimo kinamsumbua, sio peke yake watu wengi wa kimo chake huwa na hizo mambo ili kuwafanya wajisikie wapo na wao. Ktk maisha binafsi Sugu ana utoto mwingi sana wa kutafuta attention.

Yote kwa yote ni vijana wazuri kulinganisha na takataka zilizoko UVCCM.
 
Lema ana akili kubali ama ukatae.
 
Zile karatasi za Bavicha zimeshikwa na msukule wa mzee Mbowe
 

..Lema alikuwa sahihi kumkatiza muongoza kipindi. waongoza vipindi na waandishi wa habari wengi wanatumika na CCM, hivyo Chadema wanapokwenda ktk mahojiano ni lazima watumie mbinu za ziada ili kuzuia upotoshaji unaoweza kufanywa na waongoza vipindi.

..uko sahihi kuhusu Lema kuwa loose sana na kauli zake kuhusu pesa, kipato, na biashara. Jamii ya Kitanzania inapenda watu ambao ni humble kidogo ktk masuala hayo.

..Lingine ni kwamba ni lazima kiongozi yeyote wa Chadema anayekwenda kwenye mahojiano awe na majibu mazuri zaidi kuhusu mambo ya chama na haswa mapato na matumizi ya fedha za chama. Lema hakuwa na majibu mazuri yenye ushawishi.

..La mwisho ni kwamba viongozi wa Chadema huulizwa maswali magumu kuhusu fedha kuliko hata viongozi wa serikali wanaokusanya kodi za wananchi.
 
Umedadavuwa vyema, binafsi sina tatizo na matumizi ya pesa Kwa Chama ambacho hakina dola kama Chadema.

Kuendesha Chama kama Chadema na oparesheni wanapofanya kwakweli wanastahili pongezi Sana, hiyo pesa ya join the chain si lolote haiwezi kucover gharama wanazotumia Chadema Kwa hali ngumu kufanya oparesheni zao za kisiasa.

Shida yangu Mimi ni majizi ya CCM yanayokula pesa za kwenda kununuwa dawa kuweka hospital, ujenzi wa miundombinu na kuleta huduma za maji na umeme.
 


Wewe fala, lema, jiran yangu hajaangukia kwenye siasa hata kidogo, katokea mbali sana na siasa, kama hujui, hemu uliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…