Nimefuatilia mahojiano ya Godbless Lema na Odemba Star TV na hizi ndio findings zangu

•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Naunga mkono 100 per nliwah waza
 
Majoka wa kijani mna wivu sana na vijana wa CHADEMA, baada ya kuona hawanunuliki kindezi umeamua kuja na uzi wa kimama

Jiulize kwanini vijana wa CHADEMA wanapokuja huko wanapapatikiwa na kupewa manyazifa mbalimbali
Umenisikitisha sana kupuuza hoja za Matola na ukaamua kumtusi.

Huyu sio ccm na hakuwa na lengo baya.

Uwe unajua kupima hoja kabla huja hukumu
 
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Ana Moshi wa bangi kichwani
 
Inawezekana Lema aliingia Studio with mentality kuwa Odemba atakuwa na maswali ya kuibomoa Chadema hivyo akawa too defensive.

Pili, kwa wale ambao hawajapitia madhila ya kunyanyaswa na wenye nguvu mnaweza msione vifuani mwa walionyanyaswa kumejaa nini and once mnyanyasika akipata platform au breathing space anamwaga nini.

Lema na wengine wengi ni wafia Chama chama Chadema. Lema ni aina ya mwanachadema ambaye yuko tayari kukifia chama, so any attack to Chadema is like an attack to himself so ni lazima akurudie kwa rungu zito ili akihami chama chake.

Mwisho: Kosa la kwenye ile interview ni kosa la Odemba mwenyewe. Kukubali kuwa yeye awe kama ndio anayehojiwa badala ya yenye kumdhibiti Lema.

Kwa mtazamo wangu, Lema hajakosea chochote kwenye ile interview, ame capitalize kwenye udhaifu wa Odemba mwenyewe.
 
Kwahiyo Ile interview tuiite kupatwa Kwa Odemba.

BBC ya zamani enzi za kipindi cha Hard talk host alikuwaga Tim Sebastian alifanya interview na Benjamin Mkapa alimchachafya mpaka mashavu yakavimba, wale ndio walikuwa ni host akikubananisha inabidi uwe fit kweli au uwe clean huna makandokando.
 
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Kuna mtu nilimwambia baada ya interview. Jamaa anaongea 'mythologies ' . Vitu vingi kwa Nchi kama Tanzania ni vya kusadikika. Jamaa anatamani kuwe na mazingira ya peponii kwenye Nchi iliyopo Duniani. Ataishia kuwaza ivyo mpka anamaliza muda wake wa kuishi hatakiona anachokitamani. Aishi kwa uhalisia wa Tanzania na mazingira yake kama anataka kuona matokeo kwenye harakati zake na Chama chake
 
"Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake."

MY TAKE: WIVU UTAKUUA WE JAMAA
 
Odemba ni muoga, huwa anasifiwa kwa kuuliza maswali magumu, lakini ni muoga wa kupewa majibu magumu pia, anajihami kwa kumfunga mdomo Lema, bahati mbaya Lema nae akawa ameshamshtukia, kila akijaribu anaambiwa nisikilize Odemba...

Hiyo sio "egoism" kama ulivyoita mleta mada, kule ni kujiamini, mtu akitoa maelezo yake lazima apewe muda wa kuyamaliza, sio anaongea nusu kisha unaingilia mazungumzo kisa wewe ndie muongoza kipindi, kama mambo yakiwa hivyo hakuna kitakachozungumzwa kikaeleweka.

Ukumbuke pia, kumpa nafasi muongoza kipindi muoga ni kuharibu interview pia, Odemba anaogopa Makonda kusemwa kwa ubaya aliofanyia wengine, Odemba analazimisha kumfunga mdomo Lema ili awe salama mbele ya watawala, Lema nae akagoma kwasababu hana anachohofia tena.

Lema yuko sahihi sana kwa hiyo interview yao.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.

• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.

• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)

• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.

Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Lema ni jambazi na jizi na lipngo halina kabisa akili ni debe tupu kabisa. Acha kumsifia!
 
Back
Top Bottom