Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kujigamba kama anavyojigamba.......mabilionea huwa hawana kelele kama suguUnamzidi?
Naunga mkono 100 per nliwah waza•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Umenisikitisha sana kupuuza hoja za Matola na ukaamua kumtusi.Majoka wa kijani mna wivu sana na vijana wa CHADEMA, baada ya kuona hawanunuliki kindezi umeamua kuja na uzi wa kimama
Jiulize kwanini vijana wa CHADEMA wanapokuja huko wanapapatikiwa na kupewa manyazifa mbalimbali
Kama ilivyo kuchangia uzi unaomzungumzia Lema.Kumsikiliza Lema ni kukosa jambo la kufanya
What?? Lema na Sugu ni vijana?Lema na Sugu ni vijana
Ana Moshi wa bangi kichwani•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Hussein Mwinyi ni kijana.What?? Lema na Sugu ni vijana?
Nape, Makamba na Mwigulu ni vijana?
Nchi hii ujana unaishia umri wa miaka mingapi?
Kwahiyo Ile interview tuiite kupatwa Kwa Odemba.Inawezekana Lema aliingia Studio with mentality kuwa Odemba atakuwa na maswali ya kuibomoa Chadema hivyo akawa too defensive.
Pili, kwa wale ambao hawajapitia madhila ya kunyanyaswa na wenye nguvu mnaweza msione vifuani mwa walionyanyaswa kumejaa nini and once mnyanyasika akipata platform au breathing space anamwaga nini.
Lema na wengine wengi ni wafia Chama chama Chadema. Lema ni aina ya mwanachadema ambaye yuko tayari kukifia chama, so any attack to Chadema is like an attack to himself so ni lazima akurudie kwa rungu zito ili akihami chama chake.
Mwisho: Kosa la kwenye ile interview ni kosa la Odemba mwenyewe. Kukubali kuwa yeye awe kama ndio anayehojiwa badala ya yenye kumdhibiti Lema.
Kwa mtazamo wangu, Lema hajakosea chochote kwenye ile interview, ame capitalize kwenye udhaifu wa Odemba mwenyewe.
Kuna mtu nilimwambia baada ya interview. Jamaa anaongea 'mythologies ' . Vitu vingi kwa Nchi kama Tanzania ni vya kusadikika. Jamaa anatamani kuwe na mazingira ya peponii kwenye Nchi iliyopo Duniani. Ataishia kuwaza ivyo mpka anamaliza muda wake wa kuishi hatakiona anachokitamani. Aishi kwa uhalisia wa Tanzania na mazingira yake kama anataka kuona matokeo kwenye harakati zake na Chama chake•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Kuna mtu nilimwambia baada ya interview. Jamaa anaongea 'mythologies ' . Vitu vingi kwa Nchi kama Tanzania ni vya kusadikika. Jamaa anatamani kuwe na mazingira ya peponii kwenye Nchi iliyopo Duniani. Ataishia kuwaza ivyo mpka anamaliza muda wake wa kuishi hatakiona anachokitamani. Aishi kwa uhalisia wa Tanzania na mazingira yake kama anataka kuona matokeo kwenye harakati zake na Chama chake
Hebu sema majivuno ya Lema ni yapi!Hizo weakness zote ulizotaja halafu useme ana akili na iq kubwa?
Watu wenye majivuno Wengi 'hawana akili'...
Hicho alichonacho lakini alianzia kwenye zeroNi kweli yes sasa Sugu ana ubilionea gani bwana wewe?
Kwani we serikali yako hailelewi na wahisaniLema ametoba kivipi wakati famili yake inalelewa na wahisani kule majuu?
Kwani nyie huko ccm mnafata elimuNina wasiwasi na kisomo chako aisee
"Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake."•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.
• Lema afuate protocol za interview kumpa nafasi muongoza kipindi ili mahojiano yaende Kwa mtiririko unaofaa badala ya kutaka kuongea yeye tu kama chiriku anaharibu.
• Lema amebarikiwa akili na upeo mkubwa Sana lakini amenyimwa kipawa cha kuwa statesman kama Mungu alivyombariki Freeman Mbowe ( huyu mtu ni next level super diplomatic figure)
• Lema na Sugu ni vijana wenye talent inayolinganga kwenye IQ lakini pia Wana shida zinazofanana at least Lema huwa hawalingishii nguo na Miwani ya gharama Watanzania maskini hii ni shida ya Sugu peke yake, point hapa Lema ajifunze unyenyekevu na ajijuwe yeye ni binadamu pia ana mapungufu yake.
Kwa mliofuatilia intervie Ile Jana usiku Jumamosi mnaweza kuongezea ili kumjenga na kumuweka sawa Lema, ni kijana smart Sana kichwani ila tatizo nalioña ana over confidence kubwa ambayo mtu makini akikusikiliza ni tatizo pia unaweza ku-abuse authority nyingine bila kujua huku ukidhani unatumia freedom of speech.
Hahahaha wenzenu wanalamba asali nyie mnapiga kelele humuSugu mtaota nyie wapumbavu WA bashite na samia huko lumumba
Lema ni jambazi na jizi na lipngo halina kabisa akili ni debe tupu kabisa. Acha kumsifia!•Lema ni mwanasiasa mzuri Sana lakini apunguze ego.