Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

Dah....kwani wewe majukumu yako ni yepi hapo? 🤣🤣🤣🤭
 
Habari zenu

Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu,

Shughuli ilianzia alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofissini na kuniagiza vitumbiua vya mia tisa,

Kwakweli kulingana na nilivyokua mi mtu mzima nimevaa nimependeza, nimechana nywele vizuri na nimechomekea,

Nilikuwa nimevaa yale mashati ya kuwaka waka yale ya tetroni na nimechomekea na kuvaa suruali ya kitambaa nimechomekea, kitendo cha bosi kuniagiza vitumbua vya mia tisa kwangu niliona kama ni fedheha kubwa sana

Yaani mimi nitoke ofisisni niende nje eti nimeagizwa vitumbua? nilimwambia bosi kua sitaweza kwenda maana nina kazi na niko bize,

Ijumaa nilisimamaishwa kazi na leo rasmi nimeachishwa kazi

Hivi hii ni sawa kweli?
NI SAWA KABISA,

NENDA KACHOMEKEE HUO MSHATI WAKO BARA BARANI MJINGA MKUBWA
 
Huko maofisini kuna dharau sana, vile na wewe ulijiona kidume ila ungeenda tu kununua hivyo vitumbua usingepunguka kitu.
 
Safi Sana,huo ndio uanaume. Sawa kazi ni mzuri lakini isikufanye upoteze utu wako. Pambana tafuta shughuli yako mwenyewe ya kujipatia kipato huwe huru. Babu yangu kafa kwa heshima hakuajiriwa,baba mzazi tumemzika kwa heshima hakuajiriwa na mmi mwenyewe Sina mpango was kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom