prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Me navyopenda kujipendekeza ningemnunulia kwa pesa yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchomekea Shari la kung'aaJob description yako ilikuwa nini ?
Umechangia vizuriNi sawa uachishwe. Na inawezekana wewe umelelewa na Single parent
Duh! Ulisema umeacha ujambazi wewe kulikoni Tena?pambana mkuu upate mishe nyingne ya kufanya.Halafu pia uwe unaenda kunya kwenye mlango wa nyumba yake ili ajue kuwa bado upo ngangari
Utovu wa nidhamuWatu mnapitia magumu sana, ila pole sana. Kwa hiyo umefukuzwa kazi pasipo kuambiwa nini kimepelekea wewe kuachishwa kazi?
Acha tabia za kishamba hizo...Mimi pia Ni boss ukikataa nakufuza. Kwani ulinisaidia kutafuta Mali? Acha kuajiriwa Kama una jeuri.
Nyumbu hovyo kabisa.
NI SAWA KABISA,Habari zenu
Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu,
Shughuli ilianzia alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofissini na kuniagiza vitumbiua vya mia tisa,
Kwakweli kulingana na nilivyokua mi mtu mzima nimevaa nimependeza, nimechana nywele vizuri na nimechomekea,
Nilikuwa nimevaa yale mashati ya kuwaka waka yale ya tetroni na nimechomekea na kuvaa suruali ya kitambaa nimechomekea, kitendo cha bosi kuniagiza vitumbua vya mia tisa kwangu niliona kama ni fedheha kubwa sana
Yaani mimi nitoke ofisisni niende nje eti nimeagizwa vitumbua? nilimwambia bosi kua sitaweza kwenda maana nina kazi na niko bize,
Ijumaa nilisimamaishwa kazi na leo rasmi nimeachishwa kazi
Hivi hii ni sawa kweli?
Kweli jasiri haachi asilipambana mkuu upate mishe nyingne ya kufanya.Halafu pia uwe unaenda kunya kwenye mlango wa nyumba yake ili ajue kuwa bado upo ngangari
mjinga mwenyewe usinichanganye mi
Kwa akili yako nani alikuwa anakuwezesha kununua hizo nguo za kuulamba mkanda nje?mjinga mwenyewe usinichanganye mimi
Kip chenj yenyew ni mia taslim shilingKwenu vijana wa field wameshamaliza muda wao? Sisi mbona field hapa tunatumwa na tunapenda kwan tuna keep change
Mh. We utakuwa na lako moyoni mkuu...Kwa akili yako nani alikuwa anakuwezesha kununua hizo nguo za kuulamba mkanda nje?
Kwa hiyo wewe ulitaka kumpanda kichwani bosi wako?
Wewe kustahili hata kuwa house girl!!!