Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

Dah....kwani wewe majukumu yako ni yepi hapo? 🤣🤣🤣🤭
 
NI SAWA KABISA,

NENDA KACHOMEKEE HUO MSHATI WAKO BARA BARANI MJINGA MKUBWA
 
Huko maofisini kuna dharau sana, vile na wewe ulijiona kidume ila ungeenda tu kununua hivyo vitumbua usingepunguka kitu.
 
Safi Sana,huo ndio uanaume. Sawa kazi ni mzuri lakini isikufanye upoteze utu wako. Pambana tafuta shughuli yako mwenyewe ya kujipatia kipato huwe huru. Babu yangu kafa kwa heshima hakuajiriwa,baba mzazi tumemzika kwa heshima hakuajiriwa na mmi mwenyewe Sina mpango was kuajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…