Nimefukuzwa kazi kisa kugoma kumfatia bosi vitumbua vya mia tisa

Mm ningekubali afu navitia mchanga kidogo namletea.
 
Office gani hiyo?
Ulikua na mkataba wa kazi?
Kwa hiyo barua imeandikwa umefukuzwa kazi kwa kugoma kumfuatia koss vitumbua? Au utovu huo wa nidhamu haujatajwa?
 
Kuna mada nyingine mnatunga ili mje kupata attention hapa jukwaani, mwisho wa siku unaonekana mshamba

Maxence popote ulipo kwa sasa hizi senior member na expert member itapendeza kama mtu atapata kwa kulipia au kwa content anazoshusha hapa jukwaani!
Inaweza kuwa kweli labda ni houseboy wa mhindi au mchina ukikataa atakufukuza tu
 
Kama boss anaweza kukutuma vitumbua, sipati picha mshahara aliokuwa akikulipa.

Umefanya jambo la maana, bora upige ishu zingine.

Boss gani huyo anakula vitumbua tena vya sh900 kwa mama ntilie
Kwa 900 hata sambusa mbili za nyama hununui,boss bahili sana hapo kamwagiza kwa mama ntilie alete vitumbua vya mia mia
 
mama D njoo uone maajabu ya mabosi wa nchi hii

Huyo boss nimemtamani kwa kweli
 
Ukipata kazi nyingine ukubali kutumwa hata sambusa za mia mbili.
 
Aaah achana nae mimi nakuunga mkono kwa huo msimamo Bora Hata angekuagiza vya buku, maana vya mia tisa afu uanze kusubiri na hio chenji sh mia, afu mtu umevaa tetroni yako na jua likuwakie ufe bure.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo hajaja jamaa yangu [mention]Alexander The Great [/mention]
 
Kama boss anaweza kukutuma vitumbua, sipati picha mshahara aliokuwa akikulipa.

Umefanya jambo la maana, bora upige ishu zingine.

Boss gani huyo anakula vitumbua tena vya sh900 kwa mama ntilie
Apige issue gani wakati alikuwa hajajipanga kwa hilo?
 
Aaah achana nae mimi nakuunga mkono kwa huo msimamo Bora Hata angekuagiza vya buku, maana vya mia tisa afu uanze kusubiri na hio chenji sh mia, afu mtu umevaa tetroni yako na jua likuwakie ufe bure.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kundi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…