Yaani kufuata tu vitumbua ng'ambo ya barabara unaona umedhalirishwa? Kwani angefuata angepungukiwa nini? Ngoja sasa kaende mtaani kakakumbane na moto wa Hangaya!Haya mabo sio ya kuchekea hata siku moja
Na si afya kwa masilahi mapana ya taifa.
Kwa vigezo hivi wafanya kazi wa wahindi na waarabu wamejikuta wakigeuzwa nyuma kisa huu huu upuuuzi wa kumuona bosi ni Mungu
unajiona umeandika point? acha ujinga wewe,kamtafutieni kazi mwenzenu sasaHaya mabo sio ya kuchekea hata siku moja
Na si afya kwa masilahi mapana ya taifa.
Kwa vigezo hivi wafanya kazi wa wahindi na waarabu wamejikuta wakigeuzwa nyuma kisa huu huu upuuuzi wa kumuona bosi ni Mungu
Kila jicho jicho huchagua upande wa kuona.unajiona umeandika point? acha ujinga wewe,kamtafutieni kazi mwenzenu sasa
Ukijua maana na thamani ya utu ndio utajua ukubwa wa maamuzi ya mleta mada asee.Yaani kufuata tu vitumbua ng'ambo ya barabara unaona umedhalirishwa? Kwani angefuata angepungukiwa nini? Ngoja sasa kaende mtaani kakakumbane na moto wa Hangaya!

Nilisomaga mtandaoni kuna ajali ya ndege ilitokeaga kama sio 2014! Kwa mujibu wa taarifa za kisanduku cheusi ndege ilidondoshwa kwa makusudi kwa sababu dakika chache sana kabla ya kudondoka ilisikika sauti ya mtu anayegonga kwa nguvu mlango kama mtu anayetaka kufunguliwa katika mlango wa chumba cha marubani.
Hii inaonesha aliyeiangusha ndege kwa makusudi ni rubani msaidizi na aliyekuwa anagonga ni rubani kwa sababu kuna sauti ilinaswa kabla ya hapo ilisikika rubani mkuu akimuaga msaidizi kwamba anaenda kujisaidia, hivyo msaidizi akaitumia hiyo fursa kujifungia na kuilazimisha ndege ishuke chini kwa nguvu na kusabisha ajali.
Ripoti zinasema kabla ya pale huyo jamaa alikuwa kama ana msongo wa mawazo na alikuwa anajitapa kuwa siku moja atakumbukwa kwa sababu atafanya tukio la kukumbukwa.
Alikuwa analalamika kuwa anatumikishwa na rubani kufanya kazi ambazo hakusomea.
Kuna siku alipigana makonde na rubani kisa aliambiwa ahesabu abiria akasema sio kazi yake, yeye amesomea kurusha ndege.
Nadhani upo kwenye kundi

Kwahiyo unaona sahihi kutumwa vitumbua...alafu ata Maboss wastaarabu wana namna ya kuagiza hata anaeagizwa anachukulia Kama kafanya msaada...ukute huyo fala alituma Kama anatuma mtotoKwa akili yako nani alikuwa anakuwezesha kununua hizo nguo za kuulamba mkanda nje?
Kwa hiyo wewe ulitaka kumpanda kichwani bosi wako?
Wewe kustahili hata kuwa house girl!!!
Siwezi kukumbuka link ya story ya miaka 6 au saba iliyopita.Naomba link ya hii story
Vitu vingine n kutumia busara dawa jeur kibur
[emoji3][emoji16][emoji1787][emoji1787]Aaah achana nae mimi nakuunga mkono kwa huo msimamo Bora Hata angekuagiza vya buku, maana vya mia tisa afu uanze kusubiri na hio chenji sh mia, afu mtu umevaa tetroni yako na jua likuwakie ufe bure.
Kuachishwa kazi peke yake haikutosha, ilifaa uchapwe na viboko ukamuonyeshe mkeo!Habari zenu
Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu
Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa
Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa nimependeza, nimechana nywele vizuri na nimechomekea
Nilikuwa nimevaa yale mashati ya kuwaka waka yale ya tetroni na nimechomekea na kuvaa suruali ya kitambaa nimechomekea, kitendo cha bosi kuniagiza vitumbua vya mia tisa kwangu niliona kama ni fedheha kubwa sana.
Yaani mimi nitoke ofisisni niende nje eti nimeagizwa vitumbua? Nilimwambia bosi kuwa sitaweza kwenda maana nina kazi na niko bize.
Mimi nina mke na watoto uniagize vitumbua?
Ijumaa nilisimamaishwa kazi na leo rasmi nimeachishwa kazi
Hivi hii ni sawa kweli?
Bandika picha yako jinsi ulivyovaa siku hiyo hadi boss wako akamwacha sekretari wake akamuua kukutuma wewe huenda kuna external force.Habari zenu
Katika hali isiyo ya kawaida siku ya leo nimepewa rasmi barua ya kuachishwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu
Shughuli ilianzia Alhamisi iliyopita mida ya saa tatu bosi aliniita ofisini na kuniagiza vitumbua vya mia tisa
Kwakweli kulingana na nilivyokuwa mimi mtu mzima nimevaa nimependeza, nimechana nywele vizuri na nimechomekea
Nilikuwa nimevaa yale mashati ya kuwaka waka yale ya tetroni na nimechomekea na kuvaa suruali ya kitambaa nimechomekea, kitendo cha bosi kuniagiza vitumbua vya mia tisa kwangu niliona kama ni fedheha kubwa sana.
Yaani mimi nitoke ofisisni niende nje eti nimeagizwa vitumbua? Nilimwambia bosi kuwa sitaweza kwenda maana nina kazi na niko bize.
Mimi nina mke na watoto uniagize vitumbua?
Ijumaa nilisimamaishwa kazi na leo rasmi nimeachishwa kazi
Hivi hii ni sawa kwel