Nimefukuzwa kwenye duka la Kene Beibure ili apishwe mbunge Festo Sanga kufanya shopping

huna hela ww picha yenyewe umepiga sijui na infinix gani kwanza ani ukungu ukungu tu.
Afu mikono yenyewe ni ya chinga mikono migumu ka jiwe
Yaaah tunataka wachambuzi kama wewe...šŸ¤“šŸ¤“šŸ¤“šŸ¤“šŸ˜‚šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ
 
Hawo wamiliki wa duka ni wapumbavu sana. Ungewabwagia miguo yao uondoke ukafanye shopping Kariakoo. Wapuuzi wakubwa!
 
Malkia vs mbunge!
 
Sasa jamani kama wewe Tajiri mkuu wa Matajiri umefukuzwa sisi wengine si ndio tutadekishwa hapo dukani?
Aisee hata mimi nimeshtuka kuona Tajiri mkuu wa matajiri kadharauliwa. Hilo duka ni hatari sana. Nimeliogopa
 
Ukhanithi mkubwa sana wamekufanyia.
Huyo mbunge wao ana kitu gani cha maana?
Ungemtukana aliyekualika.
 
Akili timamu umevamia mtumbwi wa vibwengo.

Lazima wakusomeshe kiebraniašŸ˜†
 
Hata rais hapaswi kumfukuzisha dukani mpiga kura wake, seme tu wabongo wengi ni mbubumbu na maskini na ndio maana wanadharauliwa sana
Kinachonishangaza ni sijajua,mbunge ndio alitaka watu wafukuzwe au ni kiranga tu Cha mwenye duka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…