Mtoto wake mmoja alikua ana tundu kwenye moyo. Sijui hali yake inaendeleaje..nishamtafuta sana huyu mama sijampataHii inanikumbusha story iliyobamba humu jamvin ya JF person of the year 2022 master mpwayungu village safari ya lindi
Huyo mama na watoto walikuwa malaika wajibadilisha. Na ilishapangwa pindi tu tangu uzaliwe itakuwa hivyo.
Huyo mama na hao watoto wawili ni malaika walikuwa wamejibadilisha. Ilishapangwa pindi tu ulipozaliwa itakuwa hivyoUmenikumbusha kipindi fulani naenda Mkoa X. Nimefika usiku saa 7 alietakiwa kunipokea hapatikani kwa simu, Sema kuna mama nilimsaidia kulea mtoto wakati tupo ndani ya gari wakati nimeshuka sijui nifanyeje niende wapi yule mama akaniona akaniomba nimsinfikize kwake coz ana mizigo na watoto 2 so hawaamini madereva bajaji wanaweza kumuibia.
Aisee sikuamini,Mungu anatoa msaada pale plan zako zote zimefeli hujui ushike lipi. Btw nilienda kwake nikashinda mpaka jioni ndio niliondoka. Sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae tena
Akufukuzaye hakuambii ondokaNaona jamaa wako kakufukuza kijanja usikute hata mwanamke hatokaa nae katafuta njia ya kukutoa hapo geto
hujamwelewa jamaa alichomanisha.Akili mgando. Unadhani JF inapatikana Dar tu?
Mgeresi wacha porojo janvini jikite kwenye vitu really tachabo. Wacha story mingiHuyo mama na hao watoto wawili ni malaika walikuwa wamejibadilisha. Ilishapangwa pindi tu ulipozaliwa itakuwa hivyo
Haya ni Makasiriko. Why?Nyie watu wa dar wachoyo sana mlijifanya huko dar maisha gharama mara bajeti,hamnaga msaada kabisa na sisi wa mkoani we pambana kivyako tu.
wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
Dar hakuna msaada huo ndio ukweli.Haya ni Makasiriko. Why?
Sio majina ni jina .Habari za wakati huu Wana JF.
Kwa majina naitwa David Mathias...
We msaidie tu mkuu, sidhan kama nia ovu alikutegeshea wewe.wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
Mkuu ukiwa huna chochote huwezi kupendwa na mtu.ukiona tukio kama hili hawana urafiki, kuna mmoja kaungwa na jamaa kwa mwenzie, au kuna wale matozi wasiochangia chochote pesa wanazo, au uko bwege lakini ni nyoka unatamani demu wa mwenizo, au mdokozi, au story za kujigamba nyingi, kuvaa kwing, bando la simu full, lakini gheto huna mchango wowote, unakaa kwangu halafu unanisengenya san. huyu mwamba anatakiwa aongeze nyama kwenye story yake ikamilike
Kwetu ni Dar ndugu kuhusu kuwasiliana na nyumbani hatufanani hali ya maisha ndugu yangu Kama wao tu kula yao nyumbani shida wataweza kunitumia mimi ela nirudi Dar nimewaambja lakini hawana pesa ya kunitumia.wewe uliokuwa unaomba msaada please, naomba useme hapa wewe nyumbani ni dom au dar na je hujawasiliana na watu huko wakupe nauli urudi au kuna mazingira gani haswa, ukweli nilitaka nitoe msaada japo dereva kanipiga maswali kadhaa hapa ikanifanya nishtuke hebu jibu maswali haya kama nitaona mwanga basi hata kesho naweza kukutafutia usafiri kutoka dom kuja dar ila mimi ndio natoka Chamwino now hebu kuwa mkweli usaidike rafiki
Umenikumbusha kitu, niko na best bro alinitangulia darasa moja kasomea linguistic chuo, akiwa chuo kapiga sana pesa za tempo shule za dsm, nilianza life baada ya chuo kwa msoto sana, ndipo nikajifunza kama huna impact hutafutwi, alikuwa muwazi mwamba huna impact huwezi kutafutwa, mwamba alikuwa anamla mtoto wa mkuu fulani wa mkuu wa mkoa wa dsm mzee Kando, thamani yako itaaonekana kwenye michango ya Harusi tu, hata mende wasiojua ulipo watakuja kama omba omba. Sasa mwamba nawachana mende wote huku naburuza line.....tutafute pesa, tule maisha, tuwe na huruma, na upendo kwa wanaostahili. hainaga majivuno ila ukweli na hisia viwe wazi, we live once enjoy every moment at ur disposal. Maisha hayataki hasira slow down, make money, do mortgages, do bonds, invest, joke and laughsMkuu ukiwa huna chochote huwezi kupendwa na mtu.
Kuna baadhi ya marafiki wanakupenda ukiwa na vitu.