Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Dogo minyoo ya njaa imekupanda kichwan
 
Mwendawazimu huamini Kuna Mungu na hajawahi kumuona!
Milembe 255
Huko kutomuona ndio kipimo cha hiyo imani ya uwepo wa Mungu, maana lengo ni kuamini hivyo huwezi kusema et unaamini jua limechomoza kwa sababu umetoka nje saa 7 mchana unaliona.
 
Dini nzuri ni zile za asili ,za babu zetu.haya mengine ni kupotoshana na kutuharibia jamii yetu!! vile walivyokuwa wakiamini baby zetu ndo ,uhalisia wenyewe wa nature!!
 
hapo mtamlaumu bure mtoa mada vitu vingine mpaka ujione mwenyewe ndo utapata uthibitisho wake Kwaiyo mtoa mada anaitaji amuone Mungu bila story za watu wengi ndo ata amini bila ivyo tutakesha hapa kwamba amini kitu chenye ajawai kukiona.
 
hapo mtamlaumu bure mtoa mada vitu vingine mpaka ujione mwenyewe ndo utapata uthibitisho wake Kwaiyo mtoa mada anaitaji amuone Mungu bila story za watu wengi ndo ata amini bila ivyo tutakesha hapa kwamba amini kitu chenye ajawai kukiona.
MUNGU wa kweli haonekani . Labda MUNGU wa Musa na aruni na nabii mikaya ndioe alie onekana.
 

Mungu yupo kwa maandiko matakatifu na yupo kwa matendo makuu yanayotokea kila kuchwao

Siku utakutana na nguvu mbili zinazoshindana; nguvu ya uharibifu na nguvu ya ushindi ndio utathibitisha
 
Ni mafundisho marefu, lakini ujue kwamba yeye nipepo mkubwa Tena Lina umbo la mnyama kondoo , kwa kifupi yeye ndo azazeli.
E Yesu ntamtaka kwa mamlaka yako na nguvu zako shusha juu ya MTU huyu Leo.Atambue uwepo wako na umponye
 
Na wachawi je hawapo?! Ipo siku utatambua uwepo wake, na utakiri bila shuruti.
 
Nchi zenye wapagani wengi kama Sweden, Denmark, Ufaransa, Netherlands, Sweden, Japan, Estonia, Czech, China n.k ni mojawapo ya nchi nzuri sana kuishi,zina maendeleo makubwa kwa raia wake wengi, haki za binadamu zinaheshimiwa, mauaji na uhalifu mwingine ni kidogo sana. Nchi zilizo za kidini zaidi duniani ni pamoja na Nigeria, Ethiopia, Bangladesh, India, Tanzania.

Nchi nyingi za Africa, Uarabuni na Latin America zina kiwango cha juu kabisa cha dini ili sio nchi za watu kutamani kwenda kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…