Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
kama ndio hivyo basi all dead dog 🐕 go to heaven!Ngoja ufe utajua Mungu yupo Au hayupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ndio hivyo basi all dead dog 🐕 go to heaven!Ngoja ufe utajua Mungu yupo Au hayupo.
Ndio kuhakiki kupo ila pia kufoji kupo.hivi unaelewa uthibitisho una hakikiwa?
Huu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.Umechelewa Sana kutambua Hilo mkuu,
Kwanza hongera kwa kujitambua
Pili nakazia
Mungu ni propaganda za zama za Giza
(Dark ages)
Kuamuni Kwamba Kuna Mungu muweza wa yote na muumbaji wa mbingu na ardhi ni Uwendawazimu
Ambao hata unishawishi Kwa kutumia maneno Gani siwezi kuukubali
Mungu,shetani,malaika,mizimu,majini &co ni fiction characters walobuniwa kama
Marvel movies walivyobuni nchi ya Wakanda na Azgard na kiuhalisia hakuna kitu kama hicho!
Acha ujinga kwa hiyo walioko gerezan , hospitali ,wenye njaa ,hawana makazi wanalala nje , Mungu kashindwe kuwapa neema ....Huu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.
Unaelewa mantiki ya kuhakiki ni pamoja na kuangalia kama kuna forgery yeyote?Ndio kuhakiki kupo ila pia kufoji kupo.
Neema Gani Wewe acha Hizo,Wewe mwenyewe hata Hizo Neema huna uhakika nazo na huzijui Hapo ulipo una survive kama Mimi tu ila tumetofautiana kidogo Wewe ukijifariji kwa kumtengeneza Mungu kichwani mwako ukiamini anabeba matatizo Yako kitu ambacho upo frustrated tu na huna uhakika zaidi ya kuita ImaniHuu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.
sidhan km walikua wanaongpa but inapotokea kitu hakina jawabu watu wanajaribu kuja na idea za kuexplain so idea ya supernatural power ambayo imecreate something ndo ikaibuka hapo kumbuka enzi hizo hakukuwa habari za sayansi hazukuwako kabisaKwa hiyo ndio waongopee jamii kuwa ukoma na TB na tauni ni laana ya mungu kama jambo hulijui si unasema sijui mbona hata Leo watu wa Leo hatujui vitu vingi na tunakubali na kusema hatujui katika medicine neno idiopathic ni common sana
Shida kwanini walikuwa wanaongopa ktk jambo ambalo hawalijui?
Mkuu nimekwambia kuhakik kupo endapo utafanya hivyo utajua kama huo uthibitisho ni wenyewe au ni wa kufoji. Kwahiyo kufoji kupo ila unaweza ukahakiki.Unaelewa mantiki ya kuhakiki ni pamoja na kuangalia kama kuna forgery yeyote?
Kilichowachanganya wala sio kusoma sana kwa sababu kuna wasomi wangapi waliyosoma sana na bado wanaamini Mungu? Na tena wengine hutumia elimu zao kuelezea utukufu wa Mungu.Kuna watu kusoma kumewachanganya kiasi wanaamini mungu hayupo.. sio mbaya ila kuna vitu sio vyakulamzimisha mtu..atakutana navyo tu hata kabla hajafa
zilifeli wazungu na warabu walipoleta iman zao, kwakuwa walikuwa wameendelea kuliko sisi ikawa rahisi kwetu kuacha iman zetu na kufata zao mana hio ikawa inaonekana km ndio usasa au ndio kuendelea lkn pia kwakuwa hatukuwahi kuwa mataifa makubwa ikawa ni rahisi kufata imani za kigeni lkn kwa mataifa ambayo yalishawahi kuwa mataifa makubwa zamani km jamii za india hawakuweza kutupa iman zao ht walipotawaliwa na waingereza kwa mamia ya miaka kwakuwa wanatambua wao ni taifa lenye historia ndefu kabla hata ya hao wavamizi so ilikuwa rahisi kwa wahindi walio wengi kubaki na imani zao, ni km unavyoona taifa km iran linavyojitutumua kubambia wengine japokuwa ktk hali ya ugumu ile haiji tuu ile kitu ipo kwen damu wale watu washawahi kuwa dola kubwa sana dunian huwez fananisha kabisa na marekan taifa la juzi tuIla hizo imani za mizimu si bado zipo au siku hizi hamna tena? Maana waganga bado wapo hadi leo na watu wanaenda sasa imani za mizimu zilifeli wapi?
sasa hata km mtu atapata tatizo au ht kufa hapo unathibitisha vp kuwa mungu yupo?Kuna watu kusoma kumewachanganya kiasi wanaamini mungu hayupo.. sio mbaya ila kuna vitu sio vyakulamzimisha mtu..atakutana navyo tu hata kabla hajafa
Ni kweli kabisa kwa hivyo hatuwezi kuonekana ni wajinga kwamba tumeacha imani zetu na kufuata za watu wengine kutokana na hivyo ulivyoeleza.zilifeli wazungu na warabu walipoleta iman zao, kwakuwa walikuwa wameendelea kuliko sisi ikawa rahisi kwetu kuacha iman zetu na kufata zao mana hio ikawa inaonekana km ndio usasa au ndio kuendelea lkn pia kwakuwa hatukuwahi kuwa mataifa makubwa ikawa ni rahisi kufata imani za kigeni lkn kwa mataifa ambayo yalishawahi kuwa mataifa makubwa zamani km jamii za india hawakuweza kutupa iman zao ht walipotawaliwa na waingereza kwa mamia ya miaka kwakuwa wanatambua wao ni taifa lenye historia ndefu kabla hata ya hao wavamizi so ilikuwa rahisi kwa wahindi walio wengi kubaki na imani zao, ni km unavyoona taifa km iran linavyojitutumua kubambia wengine japokuwa ktk hali ya ugumu ile haiji tuu ile kitu ipo kwen damu wale watu washawahi kuwa dola kubwa sana dunian huwez fananisha kabisa na marekan taifa la juzi tu
Hakuna muujiza hapo wajinga tu ndio wanaoamini habari za kuumbwa na kiumbe anaitwa Mungu
wakati wa formation ya galaxy yetu ya Milkiway jua lilijikuta limekaa katika Habitable zone
Huo ukanda upo kwenye Kila Galaxies
Hii Dunia ikaangukia katika eneo hai yaani Sayari ya tatu Toka jua kimahesabu ukiipiga utaona ni eneo linalosapoti viumbe hai automatically Kwa nguvu za Asili na sio Dunia tu katika matrillion ya Galaxies Kuna habitable zone na Kuna Sayari zinasifa Sawa na Dunia mpaka Sasa wanasayansi wameigundua Moja
Kepler 452- B
Hiyo ipo umbali wa 4 light years kutoka duniani kiasi kwamba Kwa teknolojia yetu ya spacecraft hatuwezi ifikia
Hivyo mnavyokuja na nadharia za Dunia kuumbwa muwe mnaangalia upande wa pili Huku!
Wewe ACHA kuleta mashairi ya kiyahudi hapa narudia hakuna Mungu mkuu WalaJibu kilichoandikwa siyo unaleta hadithi ambazo huna ushahidi nazo, binadamu na viumbe vilivyopo duniani vimetokea by chance from no where, au vimeumbwa? na hizo arrangement za galaxy, sijui solar system na nguvu zilizoziweka hivyo na zenyewe zimetokea by chance, au kuna uumbaji wenye mamlaka na nguvu za kutisha, ambaye ni Mungu Mkuu (Almighty God)........haya lete ngonjera nyingine.
Hapo umeenda kinyume na uhalisia. Siyo tu kwamba nitakubali bali wewe ni mjinga tena muovu.Tunarudi pale pale
Na mimi nikisema akili yangu imesalimika na ndio maana nasema mungu hayupo, utakubali?
Ongeza umakini kijana. Sasa kama umetoka inakuwaje unapuyanga kijana ?ndo nilikotoka, kuna nini kipya?