Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

Umechelewa Sana kutambua Hilo mkuu,
Kwanza hongera kwa kujitambua
Pili nakazia
Mungu ni propaganda za zama za Giza
(Dark ages)
Kuamuni Kwamba Kuna Mungu muweza wa yote na muumbaji wa mbingu na ardhi ni Uwendawazimu
Ambao hata unishawishi Kwa kutumia maneno Gani siwezi kuukubali
Mungu,shetani,malaika,mizimu,majini &co ni fiction characters walobuniwa kama
Marvel movies walivyobuni nchi ya Wakanda na Azgard na kiuhalisia hakuna kitu kama hicho!
Huu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.
 
Huu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.
Acha ujinga kwa hiyo walioko gerezan , hospitali ,wenye njaa ,hawana makazi wanalala nje , Mungu kashindwe kuwapa neema ....

Sisi hapa duniani tunaendeshwa na nature tu ,kama wewe mwenyewe ukienda tofauti na nature utateseka hapa hapa duniani nature itakuadhibu ....

Ndio maana Kuna matajiri ,masikini ,viwete,wagonjwa ,wanaokula bata daily ,wanaoshinda vitandani ....nature ndio inaamua kufanya hivyo ....
 
Neno mungu lipo lakini maana yake imepotoshwa sana. Ukimtafuta hutamwona ila ukiwa na suruali mbili mpe asiye nayo. Na ukiwa na chakula cha ziada saidia anaehitaji. Hapo nao utakuwa umetimiza uungu. Achana na dini ni kama tawala zitanuazo mamlaka zake kupitia vitisho.
 
Mkuu hiyo nature ndiyo yenye haki ya kuitwa mungu na ndiyo iamuayo yote.
 
Huu ujasili unaupata wapi na wewe unaishi kwa neema za huyo unayesema hayupo.
Neema Gani Wewe acha Hizo,Wewe mwenyewe hata Hizo Neema huna uhakika nazo na huzijui Hapo ulipo una survive kama Mimi tu ila tumetofautiana kidogo Wewe ukijifariji kwa kumtengeneza Mungu kichwani mwako ukiamini anabeba matatizo Yako kitu ambacho upo frustrated tu na huna uhakika zaidi ya kuita Imani
What a joke!
😁😁😁
 
Kwa hiyo ndio waongopee jamii kuwa ukoma na TB na tauni ni laana ya mungu kama jambo hulijui si unasema sijui mbona hata Leo watu wa Leo hatujui vitu vingi na tunakubali na kusema hatujui katika medicine neno idiopathic ni common sana
Shida kwanini walikuwa wanaongopa ktk jambo ambalo hawalijui?
sidhan km walikua wanaongpa but inapotokea kitu hakina jawabu watu wanajaribu kuja na idea za kuexplain so idea ya supernatural power ambayo imecreate something ndo ikaibuka hapo kumbuka enzi hizo hakukuwa habari za sayansi hazukuwako kabisa
 
Mtu mzima akifanya jambo kama hilo ni maamuzi yake binafsi...
 
Unaelewa mantiki ya kuhakiki ni pamoja na kuangalia kama kuna forgery yeyote?
Mkuu nimekwambia kuhakik kupo endapo utafanya hivyo utajua kama huo uthibitisho ni wenyewe au ni wa kufoji. Kwahiyo kufoji kupo ila unaweza ukahakiki.
 
Kuna watu kusoma kumewachanganya kiasi wanaamini mungu hayupo.. sio mbaya ila kuna vitu sio vyakulamzimisha mtu..atakutana navyo tu hata kabla hajafa
Kilichowachanganya wala sio kusoma sana kwa sababu kuna wasomi wangapi waliyosoma sana na bado wanaamini Mungu? Na tena wengine hutumia elimu zao kuelezea utukufu wa Mungu.
 
Ila hizo imani za mizimu si bado zipo au siku hizi hamna tena? Maana waganga bado wapo hadi leo na watu wanaenda sasa imani za mizimu zilifeli wapi?
zilifeli wazungu na warabu walipoleta iman zao, kwakuwa walikuwa wameendelea kuliko sisi ikawa rahisi kwetu kuacha iman zetu na kufata zao mana hio ikawa inaonekana km ndio usasa au ndio kuendelea lkn pia kwakuwa hatukuwahi kuwa mataifa makubwa ikawa ni rahisi kufata imani za kigeni lkn kwa mataifa ambayo yalishawahi kuwa mataifa makubwa zamani km jamii za india hawakuweza kutupa iman zao ht walipotawaliwa na waingereza kwa mamia ya miaka kwakuwa wanatambua wao ni taifa lenye historia ndefu kabla hata ya hao wavamizi so ilikuwa rahisi kwa wahindi walio wengi kubaki na imani zao, ni km unavyoona taifa km iran linavyojitutumua kubambia wengine japokuwa ktk hali ya ugumu ile haiji tuu ile kitu ipo kwen damu wale watu washawahi kuwa dola kubwa sana dunian huwez fananisha kabisa na marekan taifa la juzi tu
 
Kuna watu kusoma kumewachanganya kiasi wanaamini mungu hayupo.. sio mbaya ila kuna vitu sio vyakulamzimisha mtu..atakutana navyo tu hata kabla hajafa
sasa hata km mtu atapata tatizo au ht kufa hapo unathibitisha vp kuwa mungu yupo?
 
zilifeli wazungu na warabu walipoleta iman zao, kwakuwa walikuwa wameendelea kuliko sisi ikawa rahisi kwetu kuacha iman zetu na kufata zao mana hio ikawa inaonekana km ndio usasa au ndio kuendelea lkn pia kwakuwa hatukuwahi kuwa mataifa makubwa ikawa ni rahisi kufata imani za kigeni lkn kwa mataifa ambayo yalishawahi kuwa mataifa makubwa zamani km jamii za india hawakuweza kutupa iman zao ht walipotawaliwa na waingereza kwa mamia ya miaka kwakuwa wanatambua wao ni taifa lenye historia ndefu kabla hata ya hao wavamizi so ilikuwa rahisi kwa wahindi walio wengi kubaki na imani zao, ni km unavyoona taifa km iran linavyojitutumua kubambia wengine japokuwa ktk hali ya ugumu ile haiji tuu ile kitu ipo kwen damu wale watu washawahi kuwa dola kubwa sana dunian huwez fananisha kabisa na marekan taifa la juzi tu
Ni kweli kabisa kwa hivyo hatuwezi kuonekana ni wajinga kwamba tumeacha imani zetu na kufuata za watu wengine kutokana na hivyo ulivyoeleza.
 
Hakuna muujiza hapo wajinga tu ndio wanaoamini habari za kuumbwa na kiumbe anaitwa Mungu
wakati wa formation ya galaxy yetu ya Milkiway jua lilijikuta limekaa katika Habitable zone
Huo ukanda upo kwenye Kila Galaxies
Hii Dunia ikaangukia katika eneo hai yaani Sayari ya tatu Toka jua kimahesabu ukiipiga utaona ni eneo linalosapoti viumbe hai automatically Kwa nguvu za Asili na sio Dunia tu katika matrillion ya Galaxies Kuna habitable zone na Kuna Sayari zinasifa Sawa na Dunia mpaka Sasa wanasayansi wameigundua Moja
Kepler 452- B
Hiyo ipo umbali wa 4 light years kutoka duniani kiasi kwamba Kwa teknolojia yetu ya spacecraft hatuwezi ifikia
Hivyo mnavyokuja na nadharia za Dunia kuumbwa muwe mnaangalia upande wa pili Huku!
Jibu kilichoandikwa siyo unaleta hadithi ambazo huna ushahidi nazo, binadamu na viumbe vilivyopo duniani vimetokea by chance from no where, au vimeumbwa? na hizo arrangement za galaxy, sijui solar system na nguvu zilizoziweka hivyo na zenyewe zimetokea by chance, au kuna uumbaji wenye mamlaka na nguvu za kutisha, ambaye ni Mungu Mkuu (Almighty God)........haya lete ngonjera nyingine.​
 
Wewe ACHA kuleta mashairi ya kiyahudi hapa narudia hakuna Mungu mkuu Wala
taka taka zake Hizo ni hekaya tu hakuna ukweli wowote Ulimwengu ulitokea tu Kwa formula maalumu na Mahesabu makali bila kuumbwa na kiumbe wa kufikirika anaitwa Mungu kama huyo Mungu wenu yupo basi ni mdogo Sana Hana nguvu yoyote na yeye anafungwa kwenye kanuni za ulimwengu maana anashindwa kuzikontrol huyo Mungu Gani kituko anaumba na kutengeneza vitu halafu vinamzidi nguvu na still mnaendelea kumwamini
Wake up dude huyo kikaragosi mliemtwngeneza Kwa mabichwa Yenu ni hekaya tu hayupo Katika uhalisia!
😁😁😁
 
Tunarudi pale pale

Na mimi nikisema akili yangu imesalimika na ndio maana nasema mungu hayupo, utakubali?
Hapo umeenda kinyume na uhalisia. Siyo tu kwamba nitakubali bali wewe ni mjinga tena muovu.
 
Back
Top Bottom