Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Mmbolock kwenye whatsup inatosha... Yaani kuna wanawake ukitaka kujua siku hiyo anamood gani soma status. Mara Itc ovet, mara u made my dai. Mara mtachonga sana.. yaani imekuwa kama maneno ya kwenye kanga.
 
Mjini pesa mfupa mademu mafisi. nimeiona kwenye status.jamaa anajuta kutumia hela ya miradhi vibaya
 
Mbona weye umekimbilia hapa kutoa stress zako?...ndo maana na mie nakubandika kwa status ya fb najua bado upo...heheee..kantangazee tena viber na insta...

Yalaaaaaa! Umenifuata na huku walah leo utanitambua
 

Asante mdau nafikiri bora kufanya hvo ila mi cyo mtaalam sana wa haya mambo ya cm natumia note 3 vp inaweza kufanya hvo
 
Tatizo hupendi kuambiwa ukweli.

Ngoja aanze kujifunga kanga zenye mipasho haswa....sijui utakuwa unazifuta maandishi au kuzificha?

Ujue mdau yan yeye afanan kabisa na mambo hayo coz ni ya kiswahili,
 
Wewe embu tulia mie nimeuliza sio wote walioko hapa JFwanaijua whatsapp wengine tunatumia nokia jeneza. acha kuwa mbogo just calm down nitake matusi ya nini kama sijui nisiulize arrgaaah, kama huna jibu nilie bati kimtindo sawaeeeee!!
Kuna wakati huwa watu wanatafuta matusi wenyewe.

Anyway check ndani ya pichu yako kwa.nyuma utaiona whatsapp ikiwa na profile pic iguse kidogo utaona inatoa whatsapp status.
 
ha ha ha ha daaah kuoa ni kozi kali sana kushinda hata Comando
 
Bora umefuta, alikuwa anaogopa kuweka zile picha zake za uchi sasa tutafaidi.
 
kzba

umefuta namba kwenye sim moyoni ipo bado
 
Last edited by a moderator:
ULITEGEMEA NINI???
[h=3]Nimetoka kwa mchepuko nahisi kanishtukia[/h] Started by kzba, 28th August 2014 22:35

 
Usitende yale usiyopenda kutendewa!
 
Sijui kama ujume ukiusoma kama taarifa ya kwenye magazeti ya vichekesho utakuwa na fikira kama ulivyofikiria wewe ulieandika mada hii.Ila kwakuwa nawe ni miongoni mwao na ujumbe wa mkeo umekuchoma ndo maana ulihisi status aliandika kwa ajili yako.kumbe sivyo wengine wanaandika tu kwa kukosa kazi.Nakushauri usiwe wasoma
 
mnyang'anye simu halafu mnunulie redio kolu...
kumfanyia hivo atakuwa katafuta makubwa anaweza hata akaachwa,hawa wake zetu waliosoma nayo tabu.
c.c MO11
 
Last edited by a moderator:
mnyang'anye simu halafu mnunulie redio kolu...

Ha ha ha ha ha watu8.. Hii kali.. Ila mie shaka yangu ni moja.. Inaonekana huyu bwana hana ubavu kwa mkewe.. Na inawezekana mkewe amejinunulia mwenyewe hiyo simu.. Sasa achague nusu shari avumilie au shari kamili amnyang'anye nyumbani kusikalike lol..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…