Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

Nimeshamuelekeza sema ndio haelewi ila namsubir baada ya kutoka kazin nizungumze nae vizur daah
 
Mbinu unayotumia ilitumika kabla ya vita ya kwanza ya dunia, unashindwa nini kwenda direct kumueleza to yeye unavofeel? Nyie ndio mkipewa mbususu mnaenda kuhadithia kijiweni kabisa wakati ulitakiwa ukae kimya
Anipe aone kama nitatangaza
 
Mbinu unayotumia ilitumika kabla ya vita ya kwanza ya dunia, unashindwa nini kwenda direct kumueleza to yeye unavofeel? Nyie ndio mkipewa mbususu mnaenda kuhadithia kijiweni kabisa wakati ulitakiwa ukae kimya
Hakuna jipya chini ya jua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…