Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Hakuna aliye mkamilifu.
Kosa lake huyo si kutoa mimba bali ukweli wake na uwazi.

Ukimchunguza sana bata hutomla.
Kama hamna mioyo migumu ya kupokea majibu msiwachunguze, mtachelewa sana kuoa au mtaishia kuwanyanyapaa ndani ya nyumba.
 
Sasa ukisema uanze kuchunguza kila kitu huwez kuishi hapa duniani labda mbinguni huko, tufanye uyo umemjua je wengine ambao huwajui!? Cha msingi funika kombe mwanaalamu apite maisha yaendelee
Mbona mnamshauri ujinga mwenzenu? Afunike kombe na ameshajua mwanamke ni muuaji wa vichanga vyake mwenyewe?
HUYO MWANAMKE HAFAI KUOA. BORA UKAOE MWENYE WATOTO KABISA KULIKO HUYO.
 
Hakuna aliye mkamilifu.
Kosa lake huyo si kutoa mimba bali ukweli wake na uwazi.

Ukimchunguza sana bata hutomla.
Kama hamna mioyo migumu ya kupokea majibu msiwachunguze, mtachelewa sana kuoa au mtaishia kuwanyanyapaa ndani ya nyumba.
Mm heri mwanamke mwenye watoto kuliko aliyetoa mimba. Unaua wanao ili uidanganye jamii kuwa hujawahi kuwa na mtoto? Hapana aisee.
 
Kutoa mimba ni jambo la kawaida kwa wanawake ni sawa tu na nyie wanaume mnaotelekeza watoto, achen kumnyooshea kidole hamjui nini kilimsibu,
Ndio nishamuacha hivyo, ni jambo la kawaida kwako, si kwa wanawake wote. Kifupi silea'gi' upuuzi, mtu akizingua napiga chini, natafuta mwingine.
 
Mm heri mwanamke mwenye watoto kuliko aliyetoa mimba. Unaua wanao ili uidanganye jamii kuwa hujawahi kuwa na mtoto? Hapana aisee.
Kosa kubwa wanalofanya wanawake ambao hawajakomaa vizuri kiakili ni kufunguka wakifikiri wanajenga kumbe wanabomoa kwa kasi ya ajabu, ni wapumbafu

Mtoa mada anatakiwa akutane na anayejua kupima lipi atoe lipi abakie nalo moyoni
 
Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Sasa mimi siwataki hao 'wengi', nataka wachache wasiotoa mimba, na nitawapata kwa gharama yoyote.

Mistake ni kwako na si kwangu. Kifupi ndio nishamuacha sasa, unaamuaje? Ikikuuma na ufe!
 
Sasa mind yake si ndo hiyo ya kutoa mimba? Mbona unashauri ujinga?
Daaah, mzee ulifikiria nini kujiita hivyo?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna aliye mkamilifu.
Kosa lake huyo si kutoa mimba bali ukweli wake na uwazi.

Ukimchunguza sana bata hutomla.
Kama hamna mioyo migumu ya kupokea majibu msiwachunguze, mtachelewa sana kuoa au mtaishia kuwanyanyapaa ndani ya nyumba.
Better for that, kuchunguza ni lazima mkuu!
 
Yaani bora ww huyo alitoa mm wangu aliamua kabisa kuzaa tena na kwao tushapeleka mahari nusu awa ma binti watatuaa
Huyo aliyezaa sawa. Kama kafanya ngono na kapata mimba kwann amuue huyo mtoto kisa ubinafsi wenu wa kufunga ndoa? Ameitendea haki nafsi yake,hata angemuua huyo mtoto ukamuoa isingebadilisha kuwa umeoa mama wa marehemu. Chukua binti mwingine mwenye historia inayokupendeza.
 
Kosa kubwa wanalofanya wanawake ambao hawajakomaa vizuri kiakili ni kufunguka wakifikiri wanajenga kumbe wanabomoa kwa kasi ya ajabu, ni wapumbafu

Mtoa mada anatakiwa akutane na anayejua kupima lipi atoe lipi abakie nalo moyoni
Ameshachelewa sasa, mimi sio mjinga, amesema kwa shuruti na si kwa kupenda. Bila kumshurutisha mpaka muda huu asingesema chochote.
 
Kosa kubwa wanalofanya wanawake ambao hawajakomaa vizuri kiakili ni kufunguka wakifikiri wanajenga kumbe wanabomoa kwa kasi ya ajabu, ni wapumbafu

Mtoa mada anatakiwa akutane na anayejua kupima lipi atoe lipi abakie nalo moyoni
Sidhani kama kuna mwanamke atafanikiwa kunidanganya kwenye issue nyeti kama hizo. Nitajua tu kwa njia yoyote, kama nilivyojua kwa huyu.
 
Back
Top Bottom