Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

Kuna na wale wa ruzuku, kwenye vyama vya siasa, na bungeni huko.

Huna ushauri wowote kwa vijana kuchangamkia fursa huko?

Hujaona wanavyo poromosha maghorofa? Waamini ni biashara za mayai hizo?

Hata johnthebaptist, kwani dau la buku 7 lingali halijafanyiwa maboresho tu, pamoja na chaguzi zijazo hizi?
Fedha iko Israel 😀😀
 
Yule ni kama vijana wengine. Amerisk na kuwa jasiri wakati wengine wapenzi wa siasa wakiwa nyuma ya keyboard. Chama chake kimemuamini na amekuwa mnufaika wa ruzuku ambazo ni kodi zetu halali. Ukichanganya na tray za mayai basi acha wajenge hata Dubai

Basi tusizifiche fursa zote kwa vijana zikiwamo za kupiga kuliko baresa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Basi tusizifiche fursa zote kwa vijana zikiwamo za kupiga kuliko baresa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Fursa hazifichiki. Muda na fursa ziko kwa wote.
I again saw under the sun that the race is not to the swift and the battle is not to the strong, and neither is bread to the wise nor riches to those of intelligence and understanding nor favor to men of ability; but time and chance overtake them all.
Ecclesiastes 9:11
 
Tuko pamoja mtumishi
 
Ndiko anakovunia MK254 hata kuolewa huko bila shaka yuko tayari
Hakuna haja ya kufika huko. Kwa mujibu wa magazeti ya west. Kipindi cha vuguvugu la Russia SMO kabla ya Operation ya Hamas ( Al aksa Flood), Russia na Ukraine (west) walikuwa wameajiri vijana afrika kwa ajili ya kusambaza propaganda zao online.

Kama wadau ni wanaweza kuwa wamoja wao au la Ni fursa pia. Kuna watu wanatumia 24hrs mtandaoni kufanya mambo ambayo wenzao wanalipwa kuyafanya.
 
Kwa hiyo ungezani kama kina johnthebaptist na wale wengine kujikita tu hata humu humu, uchawa unalipa?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Hudhani hao ni mzigo?
 
Silaha hizi ukiwa nazo lazima utoboe

Uaminifu
Kujishusha ,unyenyekevu
Kuwa Active and update.
Focus.

So hao vijana wamechagua tabia Fulani kisha hizo tabia fulani zimewachagulia SIFA na sifa zimewachagulia matendo na soon matendo yao yatakuwa sehemu ya hatima zao.
Ntakuwa wa mwisho kujishusha...I love my ego
 
Back
Top Bottom