Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Halmashauri siku hizi wanapokea cash , ???Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.
Nafwa nitafungwa mie[emoji31][emoji31][emoji31]
Mpuuzitu huyuHufungwi.
Hivi Stand kubwa kama Magufuli haina cameras?
Bila shaka wanayo. Nenda wakuangalizie. Pengine wanaweza wasitambulike ila ikakuhakikishia usalama wako.
Ila ulichokifanya ni uzembe wa hali ya juu.
Uza crown lipa pesa za ofisi.
Aisee...Tuanze hapa mume ulipata anakusukuma tope mpk unasahau kifunga milango ya gari View attachment 2793579
Choko ww
Natafuta mume
Habari wakuu, mnaendeleaje? Wakuu sina haja ya kuzunguka zunguka hata kidogo kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. I’m honest natafuta mume yoyote yule au jobless au awe anafanya kazi ila jobless ndiye namuhitaji zaidi. Age: 35 Resident: Arda street, sofia bulgaria and other...www.jamiiforums.com
Tuanze hapa mume ulipata anakusukuma tope mpk unasahau kifunga milango ya gari View attachment 2793579
Ni kwamba wanakuwa hawajui kuwa kuna uwezekano wa kuangalia nyuzi zao zilizopita au ni kujitoa ufahamu tu??Kumbe unatafuta attention View attachment 2793581
Ahaa... kumbe mkuu Mzimu wa Kolelo umetag post ya Koses ya May 21, 2023 ambayo alipost akionyesha yeye ni mwanamke anatafuta mwanaume jobless kumjoin London, leo anapost akiwa mwanaume aliyeibiwa ela kwenye briefcase Magufuli Bus Terminus akimsindikiza mkewe kupanda basi la kwenda Kondoa.Mpuuzitu huyu
Natafuta mume
Habari wakuu, mnaendeleaje? Wakuu sina haja ya kuzunguka zunguka hata kidogo kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. I’m honest natafuta mume yoyote yule au jobless au awe anafanya kazi ila jobless ndiye namuhitaji zaidi. Age: 35 Resident: Arda street, sofia bulgaria and other...www.jamiiforums.com
Kumbe jamaa choko tuChoko ww

😂😂Mleta mada acha uongo
Au unaleta copy and paste?
Nyie ndio mnafanya JF ionekane kama kijiwe cha wauza kahawa uongo na ushabiki maandazi mwingi kuliko ukweli.
Maombi yangu kwa Mungu uibiwe kweli na hata mkeo adinywe kwa kwenda mbele na nyuma.