Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Pole sana unatuliza akili kabisa kwa unyenyekevu kumshauri mpumbavu kama huyu?Nikiwa na laki tano tu mfukoni nakuwa makini mno, sembuse milioni tano? Unakuwaje mzembe kihivyo...ni vigumu kukuelewa ila pole.
Uza gari fasta ukalipe deni, uendelee na kazi. Maana hiyo pesa utalipishwa tu kwa namna moja ama nyingine.
Nilikuwa bado sijafahamu upumbavu wake😀Pole sana unatuliza akili kabisa kwa unyenyekevu kumshauri mpumbavu kama huyu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi story za kukopi na kupaste sipendi..
Watu mnajihangaisha kutoa ushauri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au marejesho...Umeibiwa sh milioni tano au umeota umeibiwa sh milioni tano?
Hawa watu wanatuzereu sana siku hizi aiseNilikuwa bado sijafahamu upumbavu wake😀
Kama mtu ataiona briefcase?Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x😩😩😩😩😩
Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.
Nafwa nitafungwa mie😫😫😫
Leo friefcase imekuwa nzito kama gunia la mchanga daaKama mtu ataiona briefcase?
Yaani...Leo friefcase imekuwa nzito kama gunia la mchanga daa
Pole sana Mkuu....Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x😩😩😩😩😩
Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.
Nafwa nitafungwa mie😫😫😫
Haya mengine ni matangazo ya biashara, watu wanajitangaza wajulikane wanatembea na milioni tano kwenye briefcase ili wafuatwe PM.Nilitaka kumwambia mtoa mada aje na iyo crown apa kariakoo niikague kama imenyooka nimpe iyo millioni 5 arudishe halmashauri cha ajabu nimesoma uko juu kwa wafukunyuzi kuwa ni stori za abunuasi 🚩🚩
shikamoo JF
Hali ya jamaa asaivi👇👇👇Ngoja nikalete maandazi kabla haijapoa.
Daaah mwanang utanivunja mbavu 😅 😅 😅Tuanze hapa mume ulipata anakusukuma tope mpk unasahau kifunga milango ya gari View attachment 2793579
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.
Nafwa nitafungwa mie[emoji31][emoji31][emoji31]