Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hili mawakala wote wanalijua. Mtu akipata namb yako ya nida anatoa hela mm nimepruv kwa macho yangu. Bidada kaenda kwa wakala na sim ya baba yake na katoa helaNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Kun namna majina yako kamili yanampa nida. Na anatoa hela kabisa... hiki kitu kuna wakala wa tigo aliwah nisimulia inakuaje ila sijatilia umakini kumsikilizaga tu lakin wanatoa hela wezi wazoefKuna kibaka mmoja, alikua akiiba tu simu cha kwanza ni kutoa hela iwe tigo iwe voda cha kwanza anafanya muamala.....
Sijui hata ni akili gani zinatumika.
Mimi line yangu ya voda inayo pin ukiwasha lazima uweke so voda wanayo option hiiKuna kipindi serikali ilizitaka kampuni za simu kuweka PIN kwenye laini ili kulinda wateja,mfano ukinunua laini mpya inakuwa tayari na PIN,unabadilisha unaweka ya kwako,hiyo inakusaidia pale unapoibiwa simu au laini,mtu akitaka kuweka hiyo laini yako kwenye simu nyingine au kama simu yako ikazima, inamlazimu kuweka PIN ya laini...hii inazuia mwizi au mtu asiyehusika kutumia laini yako kama ukiibiwa au kupoteza bahati mbaya.... Halotel wanayo huduma hii kwenye laini zao mpya,ila Tigo na Vodacom bado laini zao hazina hiyo option.
Poor customer careNilikwenda ofisini kwao kurudisha line wakasema suala hilio niripoti Polisi. Sikupata msaada wowote kutoka kwao!
Yeah! Mtoa mada awe mkweli tuhujasema ukweli wewe,
nina uhakika uli save password kwenye line yako
wezi ni watu wa trial and error
Au miaka , MTU kaweka 1010, 2010, 2020 au mwaka wa nyuma kutoka mwaka husikaKam ni Mara tatu.....huenda alijaribu kubet umri wako maan weng tunaweka miaka yetu ya kuzaliwa as passcode.,. Pole mkuu
Aisee 😯Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Mnatutisha wakuu, hizi akiba zetu tutahifadhi wapi sasa?Bora tigo mimi ukinipa lain ya eatel yoyote na usinipe nida wala pin yako ya eatel money kama unapesa humo naitoa safi kabisa bila kusumbuka na hata ukienda polis watakwambia umetoa mwenyewe kiufupi kampun zetu za simu haziko security sana kwa wajanja
Huko kuna wezi sanaHuyo mwizi ana connection na watu wa kwenye mitandao na ndiyo wamempa pwd akatoa pesa...si rahisi hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa mtu aguess mara tatu ikubali ,inayoweza kuguess pssword ni BOT tu linaweza likatuma request hata 1000 in few seconds.
Hiyo huduma ipo ili kurahisha upatikanaji wa namba ya siri kwa walio sahau.Tigo wana makosa.
Wafute mianya ya mwizi kupata access ya namba ya siri.
Kuna mdau hapo katoa mbinu rahisi tu ya kudukua hiyo namba ya siri tena ukisaidiea kwa 100% na hoahao tigo.
Ndomana kuna boss wangu mmoja anakaukwasi fulaniSure ,kuguess password ni ngumu sana hasa hizi zenye 3 attempts hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa ,hata mimi nikikwambia nimezaliwa kati ya mwaka 1952 hadi 1970 kuguess mara tatu hautoboi....Kuna loophole za ma agent/customer care na wezi kushirikiana.
Ndo hapo tigo inabidi warekebishe, maana huo tayari ni mwanya wa kuibiwa kizembe tu.Hiyo huduma ipo ili kurahisha upatikanaji wa namba ya siri kwa walio sahau.
Pia laini ikikaa muda mrefu bila kutumika huwa wana reset namba ya siri automatic kwenda 0000
Mtu anaibiwa sim,watu wanakwala hela kama ziko tigo pesa,wakitoka hapo line yako hyo hyo wanaikopea hela pia 😄Sure ,kuguess password ni ngumu sana hasa hizi zenye 3 attempts hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa ,hata mimi nikikwambia nimezaliwa kati ya mwaka 1952 hadi 1970 kuguess mara tatu hautoboi....Kuna loophole za ma agent/customer care na wezi kushirikiana.
Nida sio ngumu kupata Kama una namba ya simuKwasababu alipata nida yako