Ukiwa na namba ya simu wale mawakala wa kusajili laini wanaweza kukutajia namba ya nida. Yani kimantiki wewe ulichelewa kuchukua maamuzi ya kulinda laini baada ya kuibiwa. Bila shaka hapo baada ya kuiba mwizi alitaguta wakala akapata namba ya nida na detail zako kisha akafanya process ya kutengeneza password mpya na kutoa hela baadae. Scenario kama hii ni rahisi kufanikiwaHuyu mwizi kapata wapi NIDA yangu?
Hivi ule usajili wa alama za vidole wa line za sim haikusaidiaUkiwa na namba ya simu wale mawakala wa kusajili laini wanaweza kukutajia namba ya nida. Yani kimantiki wewe ulichelewa kuchukua maamuzi ya kulinda laini baada ya kuibiwa. Bila shaka hapo baada ya kuiba mwizi alitaguta wakala akapata namba ya nida na detail zako kisha akafanya process ya kutengeneza password mpya na kutoa hela baadae. Scenario kama hii ni rahisi kufanikiwa
Safi hapo...mambo ya tecknology inaweza kuchezewa kwa mtu mtaalam.Ndomana kuna boss wangu mmoja anakaukwasi fulani
Lkn mambo ya kuweka hela tigo,mpesa sjui atumie app za kibenki hataki kusikia
Mambo mengi anafanya benki mguu kwa mguu 😄
Ova
Mmeshaonywa hamsikii, Hv mnang'ang'ania nini? Hadi mtoke damu ndo mtajua hamtakiwi kutumia hilo li kitu?Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Amgetoa taarifa mapema wapiNimeona koment nyingi sana humu kuwalaumu tigo saiv attacker ni wengi mno wana tumia tool za cybersecurity ku generate password na akifungua simu yako anaanza kutest kuanzia email nk akifanikiwa kuona zimekubal ujue umekwisha..
Watu wengi hufanya password za mfanono sana ko mtu ambae ana utaalamu mkubwa ni rahis sana kutumia software mbali mbali kutest na kupata nywira zako
makosa yapo kwako ungetoa taarifa mapema now day dunia ipo kweny technology ukichangany umekwisha kaka..
Pole kwanza piga moyo konde jipange upya
Nida inapatikana hata mtandaonimtu akishajua nida no yako tu zmekwishwaaa,,,,ipo hivi hao majambazi wanakuwa lao moja na hawa wanaosajili line...hatua ya kwanza wanayofanya hao majambazi ni kucheck nida no yako kwa kupitia no zako za simu hii huduma wanayo mawakala wote wanaosajili line mtaani...wakishaijua nida no yako wanainote pembeni...hiyo nida no yako ina kila kitu chako ambapo ni tarehe ya kuzaliwa mwezi na mwaka na itakuja na majina yako yote matatu...hatua inayofuatia ni wanapiga customercare ambapo atajitambulisha kama mhusika wa line na amesahau no ya siri....customercare watamwuliza majina matatu na tarehe aliyozaliwa atajibu so coz tayari anavyo kupitia nida no yako....wanaweza muuliza balance na akasema hakumbuki ...ila watamfungulia kwa kumsetia defult jambazi ataingiza pin mpya anazozijua yy.pia wengine wana acces toka jikoni ni mwendo wa dk sifuri tu
hata watu wa mtandao hawana password yako mkuuHuyo mwizi ana connection na watu wa kwenye mitandao na ndiyo wamempa pwd akatoa pesa...si rahisi hata ukiweka mwaka wa kuzaliwa mtu aguess mara tatu ikubali ,inayoweza kuguess pssword ni BOT tu linaweza likatuma request hata 1000 in few seconds.
Hakukuwa na picha ya kitambulisho cha taifa au namba za NIDA kwenye hiyo simu?Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
haipatikani mkuuNida inapatikana hata mtandaoni
Kampuni zote Zina hisa na Serikali walau halotelTigo at it again.
Kampuni ina kashfa za udukuzi bado unang’ang’ana tu.
Kule hata wafanyakazi wake wa IT lazima wanatoa hizo taarifa.
Kampuni ya hovyo sana. Wengi humo wanajikuta ni wana usalama.
NaijuahioopolesanaNimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
kwa kujaribu mara tatu!Kama namba ya siri unaweka 2000 au 1000, iyo lazima ikulambe
Nirahisi sana ,ukienda kwa wakala ukampatia namba yasimu na elf moja ukamuambia nipatie namba yanida iliyosajilia hiyo namba anakuchekia nakukupatia chap tuHuyu mwizi kapata wapi NIDA yangu?
Acha ubishi link hii hapa https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspxhaipatikani mkuu
Acha ujuaji mimi naweza pia kutoa pesa kwenye line yako ukinikabidhi sasa hivi. Tena tigo ni kama kumsukuma mleviNimeona koment nyingi sana humu kuwalaumu tigo saiv attacker ni wengi mno wana tumia tool za cybersecurity ku generate password na akifungua simu yako anaanza kutest kuanzia email nk akifanikiwa kuona zimekubal ujue umekwisha..
Watu wengi hufanya password za mfanono sana ko mtu ambae ana utaalamu mkubwa ni rahis sana kutumia software mbali mbali kutest na kupata nywira zako
makosa yapo kwako ungetoa taarifa mapema now day dunia ipo kweny technology ukichangany umekwisha kaka..
Pole kwanza piga moyo konde jipange upya